Poleni na majukumu.
Mimi ni operator mwenye uzoefu kazini zaidi ya miaka 3. Kuna baadhi ya miradi nilifanya kazi Kama operator wa excavator sehem nyingine Kama operator wa bulldozer na sehem nyingine Kama operator wheel loader. Licha ya kuwa operator bado nina uwezo wa kufanya matengenezo madogomadogo kwenye mashine maana Nina uzoefu nazo.
Tafadhali wakuu naombeni msaada wenu naweza fanya kazi ipasavyo na hizo mashine ipasavyo katika mazingira yoyote na mahali popote.
Sichagui mkoa wala Aina ya mashine nipo tayari kwa mashine yoyote Kati ya hizo tatu.
Kwa Sasa napatikana dar kwa 0657623266 nipo tayari kuja mahali popote.