sixlove
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 565
- 397
Habari wadau, poleni na majukumu yenu. Samahani naomba mnishauri katika jambo lifuatalo. Mimi ni graduate katika fani fani ya Mazingira.
Nimeshasota sana mtaani pasipo kuwa na kibarua au ajira kwa muda mrefu. Hali ambayo imenifanya kuwa oudated sana katika ushindani wa soko la ajira.
Hivyo ili kujihami nina option mbili za kuongeza kitu kwenye career yangu. Option ya kwanza ni kufanya short course OSHA hususani NOSHC 1, option ya pili ni kufanya short course ya kuendesha mitambo mfano ESCAVATOR, WHEEL LOADER AU MOTOR GRADER.
Naomba ushauri kutoka kwenu au kwa mtu mwenye experience, kati ya hizo course ipi niipe kipaumbele ambayo itanipa fursa ya kupambana na soko la ajira.
Natanguliza shukrani kwa ushauri wako. Asante