Operation za chadema hazina mashiko

Kweli we sengesenge,inakuaje unafuatilia visivyo na faida kwako? Huo mda bora ungekua unafanya kazi ya kutawaza bata.
 

kabisa mkuu, peoples power ni yetu wenyewe na siyo ya kulazimisha na wanasiasa...hawa wote wanapigania nguvu ya dola na nguvu ya dola inaleta $$ na prestige fulani kibinadamu, hamna lolote. Mbona hawakuita maandamano wakakti wa mgao mkali wa umeme at least sisi wa mijini wenye biashara ndogo ndogo tungeshiriki, wanataka maandamo kwa sababu tuwaingize Ikulu? ah!! watembee waeleze sera zao zitakomboa vipi uchumi wetu, mikakti gani mahsusi wanayo katika jambo hili au lile na siyo maandamo maandamano kuipinga CCM kwa sababu tunazozijua wazi na muda mrefu.
 
chuki




Join Date : 10th March 2011
Posts : 150
Rep Power : 394
Likes Received : 8
Likes Given : 11

Record yako inaonyesha wewe ni specialist wa pumba!
 

Dar sio arusha, dar ina wenyewe wengine wote wakuja
 
Ni shughuli gani hizo zinazowafanya watu wa Dar wawe buze ambazo hazipo maeneo mengine??
. kuuza mitaani maji ya ukwaju, kahawa, genge, kashata, mihogo ya kukaanga, mahindi ya kuchoma nk
. umachinga mitaani
. Kushinda vibarazani,kucheza bao na kuongopeana
. kudumisha imani,dini na mila kwa kwenda ibadani x 5 kwa siku
. uzururaji mitaani usio na tija
Dar ni mji pekee hapa nchini kwetu ambamo mtu akijikwaa na kuanguka hata kabla ya kusimama tayari atakuwa ameisha zungukwa na watu zaidi ya 100 wasio na ajenda. Asilimia kubwa ya wakazi wa mji huu wapowapo tu na Wanaficha uvivu, ufinyu wa fikra na ukosefu wa mwelekeo ki maisha kwa kudai wako buze kujitafutia riziki lol!!!!!

Watu halisi walio serious na maisha wanafanya kazi za kimapato Jumatatu hadi Ijumaa asubuhi saa 1:30 hadi jioni saa 11:00, wanapumzika weekend isipokuwa tu shughuli muhimu na wanataratibu za namna ya kuendesha biashara zao wakati wa weekend. Dar dunia ya karne ya 21 inakuita, amka utoke usingizini!!!!!!
 
Chuki ni majina ya akina "havijawa" mwanaharusi" n.k, inawezekana upo sehemu unakunywa kahawa...operation Sangara=Musoma Mjini, Nyamagana, Ilemela, Biharamlo, Meatu, n.k, bado na jimbo lako
 
Kama hazina mashiko unafuatilia za nini si bora ukalale? Ila si kosa lako nadhani ni hilo jina ulilopewa tangia utoto na ukakua nalo hukutaka kulibadili.Hayoyote ni madhara ya majina ya ajabu ajabu. CHUKI....? M4C
 
Kama hazina mashiko unafuatilia za nini si bora ukalale? Ila si kosa lako nadhani ni hilo jina ulilopewa tangia utoto na ukakua nalo hukutaka kulibadili.Hayoyote ni madhara ya majina ya ajabu ajabu. CHUKI, Shida, Tabu kuwa makini na haya majina. M4C
 
yaani wewe naogopa ban tuu ningekupa jibu moja ungezimia. kinachokuuma nini? wewe kaoge ulale

ndg.hata enzi za utumwa mambo yalikuwa kama wewe unavyodai!kulikuwa na watumwa wa ndani na nje.wale wa nje walitamani mabadiliko haraka.wale wa ndani walichelewesha harakati hzo za kiukombozi toka mkoloni.basi kachukue posho yako kwa naupe.
 
Kama unausingizi nenda kalale.

Dar es salaam, wamejivua Gamba leo,..

Wewe tu na roho mbaya yako,..

#MAGAMBA TUPA KULE...
 

Too Low!
 

Pipoz powaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...acha chuki zako weye!!!!!

 
kweli we chuki kama id yako inavosema,magamba wamekunyima elimu hata picha huoni
 
 

masaa machache tu ya kuongea na wananchi wa dar na watanzania wote kwa ujumla pale CHADEMA SQUARE iliyokua inajulikana zamani kama Jangwani POVU LIMEANZA KUWATOKA????????
na bado tunaenda kusini huko, mjipange sawasawa
 

hata jina lako linaonyesha vile una roho ya kwanini.....
utakufa navyo hivyo viriba vyako,mwanga mkubwa weye
 
pole ndugu. nadhani umepata majibu uliokuwa unayatafuta. au una la kusema tena? nyinyiem!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…