Mwanangu anamiaka mitatu kasoro anasumbuliwa na hayo matatizo toka anamwaka nanusu, ametumia sn antibiotics zinaisha nakurudi, sasa anatakiwa atolewe kwaushauri wa daktari, msaada hospital gani yenye dokta mzuri wamaswala hayo mwenye kujua please, nipo Dar es salaam.