Adiosamigo mdogoee gallow bird Ritz na Mpotoshaji mkuu wa JF Bumunda zitto junior sasa hivi wamejificha wanajidai wameishiwa Bundle hawataki kabisa ukweli kuwa Marubani wameokolewa kwa ustadi mkubwa sana! Na kulivua nguo IRGC na Basji!!!Naona wameingia mitini ghafla baada ya kuisoma hii habari.😧😧😧
We kenge unasumbuka sana Iran wanasema kama USA wamemuokoa huyo Pilot wacha wamwaonyeshe mbona hawataki kuwaonyesha kuna kitu gani wanacho ogopa kumuonyeshaAdiosamigo mdogoee gallow bird Ritz na Mpotoshaji mkuu wa JF Bumunda zitto junior sasa hivi wamejificha wanajidai wameishiwa Bundle hawataki kabisa ukweli kuwa Marubani wameokolewa kwa ustadi mkubwa sana! Na kulivua nguo IRGC na Basji!!!
tuambie wewe ukweliWamarekqni ni waongo sana kama movie zao zilivyo
Kobazi wangempata wangemtahiri kwa msumeno
Alipotunguliwa rubani,khezestan,ni 300km mpaka Isfahan alikookolewa, kwamba rubani akiwa kaumia alikimbia kilomita hizo mpaka Isfahan kisha akapanda kilima cha futi 7000,ndani ya siku moja,huu ni uwongoAdiosamigo mdogoee gallow bird Ritz na Mpotoshaji mkuu wa JF Bumunda zitto junior sasa hivi wamejificha wanajidai wameishiwa Bundle hawataki kabisa ukweli kuwa Marubani wameokolewa kwa ustadi mkubwa sana! Na kulivua nguo IRGC na Basji!!!
Wafuga Midevu na Majini daima hamkosi visingizio hasa mipango yenu inapofeli!!Alipotunguliwa rubani,khezestan,ni 300km mpaka Isfahan alikookolewa, kwamba rubani akiwa kaumia alikimbia kilomita hizo mpaka Isfahan kisha akapanda kilima cha futi 7000,ndani ya siku moja,huu ni uwongo
Walienda na c130 mbili zinazobeba watu 140, helicopter 6,huhitaji vyote hivyo kwenda kuokoa rubani mmoja
Wao walienda kuchukua uranium iliyorutubishwa Isfahan, ilikua advance team,wakafeli vibaya