Hakuna ukweli uliotupa hapa hata kidogo; ni propaganda tu mnazopiga kutafuta sympathy ili msirudi kwenu. Nyie ndo mkiambiwa ukweli unakimbilia kutukana, lakini tushawazoea. sasa kwani ukiomba uraia lazima upewe? na kupewa vibali pia sio lazima!...nadhani pia maana ya neno "haramu" ulishaelezwa ila kwa sababu umeamua kujitoa faham endelea kulalamika tu. Kama Waafrika au binadamu tunapendana, lakini kama unaona mtu unayemuona mwanadamu mwenzako na kumfanyia wema anakuona wewe ndo mjinga anakufanyia visa tena ukiwa kwako, ni bora tu umwambie aondoke ili kuepusha shwari!.. TZ imewahifadhi kwa muda mrefu, lakini sasa nyie watutsi mkaleta dharau na kuleta madhila makubwa kwa raia wa TZ mnaoishi nao; na zaidi ya yote tunajua nia zenu ovu kwa maana kwamba, kile mnachokifanya huko DRC ndo mpango wenu wa kuja kufanya the same huku TZ; sasa kwanini tuwaache mpaka muanzishe vurugu ndio tuanze kuwaondoa?.. Mngekuwa watu wanaoaminika na kupenda amani na kuwathamini wengine kama binadamu, basi haya yote yasingetokea; lakini jamani mkae mkijua kuwa tunawajua tabia zenu mbaya za ubaguzi na kujiona nyie ni binadamu na wengine ni wanyama! Hakika LAANA ya MUNGU itawapata kwa wakati wake mwenyewe..NGURUVI,acha vitisho vyako wewe mwenyewe uko unachungana na mali za wanyarwanda ili uzipore,eti inawezekana mali za wizi? basi watanzania mungeisha,nyie mkiona mtu anawapa ukweli mnakimbilia ooh mnyarwanda.rudi kwenu,wewe kwetu unapajua? tulia mimi niko against waporaji na wanyanyasaji wa watu wasio kua na hatia,kwani walikuambia urai ulikua wakila mhamiaji? wengi waliomba nakusubiri mpaka wa leo,na wengine wakawa wanapewa vibali vya mwaka na juzi walinyimwa,wewe unafurahishwa na kufukuzwa kwa binadamu wenzako na kuwaita haramu,uhurumiwe sana.
wewe sema tu,kesho utakua kizimbani ukisema ulidanganywa na viongozi,eti haikua niya yako,acheni roho za kutu,kwanini msiwape muda waondoke kwa uzuri? hivi wange kua watanzania ndio wanafurushwa rwanda au uganda ungeona jinsi povu lingekua linawatoka wabongo,furahini kwamba mungu aliwapa aridhi kubwa lakini kumbuka aliye wapa ndiye aliwanyima hao mnao wafukuza,na anauwezo wa kuutwaa huo udongo kwani hamukuonyesha hekima ya kuwasitili watu wake,mimi sina mengi nchi niyako labda kesho hawa wazungu wanaweza kukaa nakurudia mipaka ukajikuta rwanda kwani hii mipaka iliwekwa na wazungu,kwahiyo usijisikie sana kwa kumnyanyasa mwafrika mwenzako eti kwasababu ya ardhi,hilo nidongo tu sisi wote ni wateja wa mita mbili udongoni tuta iacha,fikiria wakati wahukumu unakuja ulizwa uliyotendea binadamu mwenzako,yani nimeshangaa kuona jinsi watu wanamiroho yakutu namnahii sikutegemea kwa mtanzania kuwa na fikira kama zako.
Hahaaa.....ataenda kwanza kagame na mu7 huko ICTR kwani ndio waliosababisha genocide huko rwanda na kuwaua wahutu wengi na watutsi!....sasa TZ inacheza na damu za watu hapo kwa vipi? kuambiwa mrudi kwenu ndo kucheza na damu za watu? nyie kwenu kila asiye mtutsi basi ni mhutu...kweli mna laana ya ubaguzi na chuki na itawamaliza! alafu aliwalenga watutsi kwa sababu gani?? yeye Mh Rais alisema "wahamiaji haramu" hakutaja jina la any ethnic group as you try to put it here!...
tatizo la rwanda ni ardhi,eneo lao dogo kama mkoa wa Kagera,tatizo ni ardhi wakat tanzania eneo liko bwerere
Nyumba za wahamiaji (nachelea kutumia haram, binadamu hawezi kuwa haram) zimechmwa, mifugo inaibiwa na familia zinatenganishwa kule Kagera.
Kigoma na Geita kimyaaa! Ukweli ni jk hakuagiza hivyo. Alisema: MIFUGO IONDOLEWE HIFADHINI, NG'OMBE WALIOINGIZWA WARUDISHWE WALIKOTOKA, WAHAMIAJI WALIOPEWA VIBARI NA WATENDAJI WA VIJIJI WARUDISHWE, NA WANAOINGIA KIHOLELA WAFUATE UTARATIBU.
Hajase waliozaliwa hapa na wana mifugo yao waondoshwe haraka, hajasema wenye vibari halali vichanwe na watimuliwe, hajasema wana vijiji wavamie nyumba na kuzichoma eti ni za wahamiaji haram, na kula mifugo yao.
JK, inabidi aingilie kati manake anaonekana analipiza kisasi kwa Kagame, kumbe hakuwa na nia mbaya kiongozi wa watu.
Mkuu unatakiwa kukumbuka kuwa JK anaishi magogoni na ni Rais. JK haishi Kagera na si ofisa usalama on the ground anayejua a to z za kasheshe za usalama. For sure anajua kinachoendelea kwa kuwa anapewa intel updates, kama wanachofanya si sahihi atwaambia waache.
Nakuomba mleta mada uthibitishe hayo madai yako tena kwa picha. mie niko Kagera kwa sasa katika kijiji kilicho na wahamiaji wengi toka JK atoe ultimatum kuna walioondoka wenyewe bila kushurutishwa na kuna wengi bado wapo wanaendelea kuishi na wanafanya shuguli zao kama kawaida wanasubilia any solution sijaona nyumba iliyochomwa wala mhamiaji aliyenyang'anywa mali yake yoyote kama unauhakika tuambie wilaya na kijiji. Vinginevo kaa kimya na urudi kwenu Rwanda na umsalimie PK.
Ahahahaha! yani wewe ungepewa urais nafikiri ungekua kama yule rais wa irani aliyesema ataifuta israel katika ramani ya dunia,heee nafikiri hapo ulipo unasali ili siku moja uone wanyarwanda wanachinjwa wote,pole mkuu inabidi mzee wa upako akusaidie kabisa kwani huyo nishetani mbaya kabisa.Jeshi la Polisi Tanzania, Usalama wa Taifa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania JWTZ pamoja na Viongozi wote wa Mikoa husika hakikisheni mnaendelea na msako wa kuwaondoa Wahamiaji haramu wote yaani wale wanaoishi bila Vibali. Pia zichukuliwe hatua kali za kisheria kwa wale wahamiaji haramu ambao hawakutii ule muda muafaka tuliowapa warudi kwao. Napenda kuwahakikishia ya kuwa zoezi hili halitaishia mkoani Kagera tu, bali Tanzania nzima. Serikali yenu inafahamu vema walipo hawa wahamiaji haramu hususani kutoka Rwanda. Ndugu Wananchi wa Tanzania, Serikali yetu imepeleka Batalioni nchini Congo ili kulinda amani kukabiliana na kukabiliana na waasi wanaojulikana kwa jina la m23 nchini humo.
Waasi hawa m23 wataondoka nchini DRC muda si mrefu kwa kipigo kizito watakachokipata kutoka kwa majeshi ya UN yaliyopo DRC yakiongozwa na Brigedia Jenerali James Mwakibolwa. Wakishaondoka Congo UTAPITA MSAKO WA HALI YA JUU SANA ILI KUWAONDOA WARWANDA NCHINI HUMO. Napenda kuwahakikishia ya kwamba HAKUNA NCHI YOYOTE INAYOWEZA IKATUTISHIA AMANI WATANZANIA. Tunaliamini JWTZ kwa kuwa lipo Imara sana, ndani na nje ya Tanzania.
Ni mimi Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia JamiiForums. Mungu Ibariki Afrika, Mungu Ibariki Tanzania. Asanteni kwa Kunisikiliza.
Mkuu yaani ukiangalia majibu yao yamejaa ujeuri, ufedhuli na kujisikia sana au ndio msemo wa MASIKINI JEURI? Unyama wanao wafanyia abiria pindi wanapowateka ni ushahidi tosha kwamba baadhi ya jamaa hawa wako-wired kivingine kabisa, hawana uwanadamu hata chembe wala Dunia haipashwi kushangazwa na jinzi wanavyo uana ovyo ovyo huko kwao - wako blood thirsty/brute by DEFAULT.Nakumbuka Kipindi cha Mkapa Wahamiaji Haramu waliteka Mabasi,wakaua,wakawavulisha nguo abiria wote wakawashusha wakiwa UCHI,Wakawaimbisha na Wimbo wa T.o.T- Mtaji wa Masikini . . . ! Jamani Wanyarwanda?
Tatizo lenu mnapenda sana kugeuza geuza maneno, ni wapi aliposema anataka Rwanda ifutwe katika ramani ya dunia! Wanyarwanda si mna kawaida ya kujimaliza wenyewe ni lini a foreign Country iliwahi kuivamia Rwanda na kuuwa raia wake - adui wenu ni nyinyi wenyewe kwa kuendekeza ukabila wenu, badala ya kumaliza tofauti zenu kistaarabu mnataka ku-export ujinga wenu kwa nchi jirani, watu wahache kufanya shughuli zao wakae wakisikiliza matatizo yenu ya kisaikolojia ya kabila fulani kujiona ni bora kuliko lingine mnafikia hatua ya kichinjana kwa halahiki kutokana na chuki tu za wenyewe kwa wenyewe alafu mnategemea nchi jirani ndizo zibebe mizigo yenu ya ukosefu wa akili ya kujifunza namna ya kuishi na makabila yote bila ubaguzi.Ahahahaha! yani wewe ungepewa urais nafikiri ungekua kama yule rais wa irani aliyesema ataifuta israel katika ramani ya dunia,heee nafikiri hapo ulipo unasali ili siku moja uone wanyarwanda wanachinjwa wote,pole mkuu inabidi mzee wa upako akusaidie kabisa kwani huyo nishetani mbaya kabisa.
Mkuu Tanzania ilipo pata uhuru idadi ya RAIA walikuwa million tisa tu, sasa hivi Tanzania ina million karibu arobaini i.e population explosion ikakua exponentially, Watanzania hatuna ukabila kwa hiyo ni rahisi ku-intergrate kikabila bila ubaguzi wowote, Wanyarwanda (hasa Watutsi) hilo hawana ni wabaguzi sana hata uwasambaze mikoa gani ubaguzui wao hupo pale pale, labda uwasafishe kisaikolojia na hiyo haitawezekana kutokana na wazazi wao kuwafundisha watoto wao wakiwa wadogo, kuwa Watutsi ni bora zaidi ya wa Africa wengine!! Rwanda ndio inapashwa kuwa elimisha raia wake kuhusu uzazi wa majira sio kuzaana bila mpango huku wakijua wazi kwamba nchi hiyo ni ndogo sana there is no room ya ku-accomodate kila raia - kama Uchina ilifanikiwa katika zoezi hilo Rwanda inashindwa nini?Nchi yetu iko tupu mno. tulitakuwa tuwape uraia hawa watu, watawanywe sehemu mbalimbali.. watusaidie kujenga nchi yetu.