Eeeh bana hao jamaa ni ruthless ukisikia jinsi walivyokua wanawafanyia wenyeji baada ya kupata vibali fake kwa kuhonga usingeliwaonea huruma. Halafu wana hila nyingi nadhani ndio maana nguvu inatumika. Bila hivyo huwezi kuwatoa hao. Pamoja na hivyo sio kama naunga mkono wale wasiokua wakorofi wafanyiwe vitendo vya ubabe au kuhujumiwa haki zao.Nyumba za wahamiaji (nachelea kutumia haram, binadamu hawezi kuwa haram) zimechmwa, mifugo inaibiwa na familia zinatenganishwa kule Kagera.
Kigoma na Geita kimyaaa! Ukweli ni jk hakuagiza hivyo. Alisema: MIFUGO IONDOLEWE HIFADHINI, NG'OMBE WALIOINGIZWA WARUDISHWE WALIKOTOKA, WAHAMIAJI WALIOPEWA VIBARI NA WATENDAJI WA VIJIJI WARUDISHWE, NA WANAOINGIA KIHOLELA WAFUATE UTARATIBU.
Hajase waliozaliwa hapa na wana mifugo yao waondoshwe haraka, hajasema wenye vibari halali vichanwe na watimuliwe, hajasema wana vijiji wavamie nyumba na kuzichoma eti ni za wahamiaji haram, na kula mifugo yao.
JK, inabidi aingilie kati manake anaonekana analipiza kisasi kwa Kagame, kumbe hakuwa na nia mbaya kiongozi wa watu.
Hujui issue za Ikulu ukigusa maslai unaambiwa wewe si Raia...Alikuwa wapi siku zote asiwatimue mpaka walipogombana na kagame?
kama kuna nchi yenye watu wajinga duniani basi tanzania inaweza ikaongoza mafisadi wanaofanya tuishi maisha magumu mnawapigia magoti na kuwaalika makanisani kama watakatifu mko kimya na kuwashabikia hizo vurugu kwa nini msiwafanyie hao kama kweli mnauchungu na nchi na unaweza kuta wanafanya hivyo ni vijana wanaodanganywa eti taifa la kesho
Huna lolote geni. Rudi kwenu ulikotoka utuache na tz yeti. Hatishwi mtu hapa.
Mkuu hawa ni warwanda wanateteana hata kama kazaliwa hapa tanzania kama kazaliwa kihalamu na halamu waondoke tu tumechoka na uharifu wao.
uonevu kama huo aukubaliki kuna watu wana take advantage ya agizo la kikwete ili wawaibie mali zao.
dunia ni mapito tu
rudi kwenu mkuu
hivi hamna kwenu?
Hata kama!!! Waende na matusi ya mkulu wao tumechoka sasa na wakikaidi watakumbana na usemi mashuhuri wa Waziri Mkuu
Acha moto uwake,sisi hatuna maneno mengi bali vitendo.
we ni mbuzi sana tofauti ni kwamba ni kwamba ni mbuzi unaekula ugali......na wewe kama ni mjuu wao au mjomba au shangazi yao utakwenda na lazima tukufikie tu
Sasa wewe unanichekesha wangekua wababe mungewaswaga kama n'gombe wakakubali? hebu acheni unafiki,halafu wewe umesikia hujajionea.Eeeh bana hao jamaa ni ruthless ukisikia jinsi walivyokua wanawafanyia wenyeji baada ya kupata vibali fake kwa kuhonga usingeliwaonea huruma. Halafu wana hila nyingi nadhani ndio maana nguvu inatumika. Bila hivyo huwezi kuwatoa hao. Pamoja na hivyo sio kama naunga mkono wale wasiokua wakorofi wafanyiwe vitendo vya ubabe au kuhujumiwa haki zao.
Haramu waondoke woote waende kwao kwan tumewachoka....pia zoez hil lhamie na humu jf moderators tunawategemea sana katka hil, kuporwa mifugo ni mavuno yakuish vzuri na wenyej wenu, mkataa kwao ni mtumwa..
Watu wanahaki ya kuongea(freedom of speech),huwezi ita mtu haramu hata mungu hajawahi kumuita mtu haramu,unanishangaza kumchukia mtu hata hujawahi kugombana naye,just kwasababu umesikia radioni eti watu wahamiaji haramu wamepewa siku 14 waondoke na wewe ndio kuanza kuwaita haramu,subiri kesho nawewe waweza kuwa haramu,dunia ni mzunguko in and out,huwezi juwa.
Jamani kwani lazima muishi tz tu?rudini kwenu tumewabeba vya kutosha ila hambebeki nyie na madharau yenu kuona wengine si watu.
na wewe mwenzao nini?kama ndio tokeni jamani tumewachoka.mlikuja na godoro tu mnaondoka na ng'ombe,gari huoni tumewasaidia vya kutosha?nendeni mkabanane huko huko wanafiki nyie.