Operation UKUTA itagharamiwa na nani?

Operation UKUTA itagharamiwa na nani?

dayong

Member
Joined
Mar 3, 2016
Posts
64
Reaction score
29
SWALI LA KIZUSHI. Hivii operetion ukuta maandamano na mikutano nchi nzima! Je inagharamiwa na nani? na nikiasi gani cha fedha kitakachotumika?
 
Tunamjua aliyewatuma! Badala ya kujenga ofisi wanaharibu ruzuku kwa mambo ya ovyo
 
1471162494445.jpg
 
SWALI LA KIZUSHI. Hivii operetion ukuta maandamano na mikutano nchi nzima! Je inagharamiwa na nani? na nikiasi gani cha fedha kitakachotumika?
Nyie lumumbas Garama za mikutano yenu yote zinatokana n'a Kodi zetu.....nyie ngeke vyanzo vyenu vyote vya fedha mshajidhulumu wenyewe na kujiibiaaa......
 
Back
Top Bottom