Inawezekana kuwa imefanikiwa kujijenga ila kumbuka imepunguza imani ya jeshi la polisi/vyombo vya ulinzi kwa wapinzani. Ndiyo maana tundu lissu alisema mahabusu si pahala pazuri. Nyie mashabiki mtaona sawa ila viongozi wenu wanakipata cha moto.Kwenye uwanja wa vita kuna mbinu nyingi za kumshinda adui...ukiona adui yako analeta ubabe unabadili mbinu....hapa unaachana na ile ya piga nikupige
Vita ya mtaa kwa mtaa ndio vita ngumu zaidi kwakuwa hapa silaha nzito zile za kwenye uwanja wa vita hazitumiki tena.
Vita ya mtaa kwa mtaa ni vita inayohitaji werevu na mbinu makini..wengi hushindiwa hapa....
Kwenye ulingi wa kisiasa nako kuna vita
Kuna vita ya
Sera
Propaganda
Vipaumbele
Kukosoana
Vita ya kumchosha mpinzani wako nk nk
DHIMA YA UKUTA
Dhima ya UKUTA ni kujijenga kisiasa, kujitangaza zaidi, kusikika zaidi na kumpoteza mpinzani
Ni neno lililoandaliwa kimitego, likiwa na utata fulani kwa tafsiri za kihuni, na mpinzani bila kujitambua akanasa kwenye huo mtego
Kwa kukosoa operation nzima na kukekeli neno UKUTA mpinzani hajui kuwa anasaidia kukitangaza chama buuuree
mkakati wa operation nzima umetolewa hadharani karibia miezi miwili kabla ya kufanyika..miezi miwili ni kipindi mkakati kisiasa kummaliza mpinzani
Sasa hivi ni UKUTA kila kona, mpinzani baada ya kufanya yake ni yeye na UKUTA kila uchao
Operation UKUTA imemlazimisha mpinzani akajinadi upya kwa wananchi kama yuko kwenye kampeni, mbinu ya kumchosha na kummaliza nguvu na kumpotezea muda
Operation UKUTA imevuta hisia za wengi na kuwaingiza wengi kwenye mjadala wakiwemo taasisi mbalimbali za serikali na NGOS tofauti
Sasa hivi mpinzani hasikiki tena, bali bila kujitambua amekuta anachezeshwa ngoma juani huku mwenzake akiwa pembeni kivulini kajaa vicheko
Operation UKUTA hata isipofanyika lakini kwenye medani za siasa na propaganda itakuwa imefanikiwa sana. ..
Mudawote jitahidi sana kumuelewa Lissu, jifunze kumuelewa yule mtu...angalia mwisho wa siku alivyoibwaga serikali na jopo lake lote na wanasheria wake woteInawezekana kuwa imefanikiwa kujijenga ila kumbuka imepunguza imani ya jeshi la polisi/vyombo vya ulinzi kwa wapinzani. Ndiyo maana tundu lissu alisema mahabusu si pahala pazuri. Nyie mashabiki mtaona sawa ila viongozi wenu wanakipata cha moto.
mshana jr, tatizo siasa wanazoendesha upinzani si za kujenga. Hivi wewe unadhani kwa nini lowasa aliwaita chadema ni wanaharakati??? Hivi unadhani lowasa anafurahi hii hali??? Hivi lowasa unadhani anataka kushindana na rais??? Kama ulimsikiliza siku za karibuni alisema rais anafanya vizuri......, ila akina mbowe, lissu etc wao kila kukicha wanamtukana na kumdharau na kutaka kupambana na mamlaka ya rais, ilhali hawajui mamlaka yake, na ndiyo maana uadui umeongezeka kumbuka unapmtukana rais unatukana watanzania na vyombo vyake vyoteMudawote jitahidi sana kumuelewa Lissu, jifunze kumuelewa yule mtu...angalia mwisho wa siku alivyoibwaga serikali na jopo lake lote na wanasheria wake wote
Jeshi la polisi Na hizo organs nyingine zitatamba mitaani na kujeruhi miili lakini sio dhima, nia na focus ya kile kilichokusudiwa...
Niumize mtaani kwa virungu ila nakusubiri kwenye sheria
Wewe mtu mudawote, tangu kuumbwa kwa dunia, mahabusu huwa siyo pazuri na wala si kauli ya Lissu, acha uCCM wa kutoweza kufikiriInawezekana kuwa imefanikiwa kujijenga ila kumbuka imepunguza imani ya jeshi la polisi/vyombo vya ulinzi kwa wapinzani. Ndiyo maana tundu lissu alisema mahabusu si pahala pazuri. Nyie mashabiki mtaona sawa ila viongozi wenu wanakipata cha moto.
Kwenye uwanja wa vita kuna mbinu nyingi za kumshinda adui...ukiona adui yako analeta ubabe unabadili mbinu....hapa unaachana na ile ya piga nikupige
Vita ya mtaa kwa mtaa ndio vita ngumu zaidi kwakuwa hapa silaha nzito zile za kwenye uwanja wa vita hazitumiki tena.
Vita ya mtaa kwa mtaa ni vita inayohitaji werevu na mbinu makini..wengi hushindiwa hapa....
Kwenye ulingi wa kisiasa nako kuna vita
Kuna vita ya
Sera
Propaganda
Vipaumbele
Kukosoana
Vita ya kumchosha mpinzani wako nk nk
DHIMA YA UKUTA
Dhima ya UKUTA ni kujijenga kisiasa, kujitangaza zaidi, kusikika zaidi na kumpoteza mpinzani
Ni neno lililoandaliwa kimitego, likiwa na utata fulani kwa tafsiri za kihuni, na mpinzani bila kujitambua akanasa kwenye huo mtego
Kwa kukosoa operation nzima na kukekeli neno UKUTA mpinzani hajui kuwa anasaidia kukitangaza chama buuuree
mkakati wa operation nzima umetolewa hadharani karibia miezi miwili kabla ya kufanyika..miezi miwili ni kipindi mkakati kisiasa kummaliza mpinzani
Sasa hivi ni UKUTA kila kona, mpinzani baada ya kufanya yake ni yeye na UKUTA kila uchao
Operation UKUTA imemlazimisha mpinzani akajinadi upya kwa wananchi kama yuko kwenye kampeni, mbinu ya kumchosha na kummaliza nguvu na kumpotezea muda
Operation UKUTA imevuta hisia za wengi na kuwaingiza wengi kwenye mjadala wakiwemo taasisi mbalimbali za serikali na NGOS tofauti
Sasa hivi mpinzani hasikiki tena, bali bila kujitambua amekuta anachezeshwa ngoma juani huku mwenzake akiwa pembeni kivulini kajaa vicheko
Operation UKUTA hata isipofanyika lakini kwenye medani za siasa na propaganda itakuwa imefanikiwa sana. ..
Kwenye uwanja wa vita kuna mbinu nyingi za kumshinda adui...ukiona adui yako analeta ubabe unabadili mbinu....hapa unaachana na ile ya piga nikupige
Vita ya mtaa kwa mtaa ndio vita ngumu zaidi kwakuwa hapa silaha nzito zile za kwenye uwanja wa vita hazitumiki tena.
Vita ya mtaa kwa mtaa ni vita inayohitaji werevu na mbinu makini..wengi hushindiwa hapa....
Kwenye ulingi wa kisiasa nako kuna vita
Kuna vita ya
Sera
Propaganda
Vipaumbele
Kukosoana
Vita ya kumchosha mpinzani wako nk nk
DHIMA YA UKUTA
Dhima ya UKUTA ni kujijenga kisiasa, kujitangaza zaidi, kusikika zaidi na kumpoteza mpinzani
Ni neno lililoandaliwa kimitego, likiwa na utata fulani kwa tafsiri za kihuni, na mpinzani bila kujitambua akanasa kwenye huo mtego
Kwa kukosoa operation nzima na kukekeli neno UKUTA mpinzani hajui kuwa anasaidia kukitangaza chama buuuree
mkakati wa operation nzima umetolewa hadharani karibia miezi miwili kabla ya kufanyika..miezi miwili ni kipindi mkakati kisiasa kummaliza mpinzani
Sasa hivi ni UKUTA kila kona, mpinzani baada ya kufanya yake ni yeye na UKUTA kila uchao
Operation UKUTA imemlazimisha mpinzani akajinadi upya kwa wananchi kama yuko kwenye kampeni, mbinu ya kumchosha na kummaliza nguvu na kumpotezea muda
Operation UKUTA imevuta hisia za wengi na kuwaingiza wengi kwenye mjadala wakiwemo taasisi mbalimbali za serikali na NGOS tofauti
Sasa hivi mpinzani hasikiki tena, bali bila kujitambua amekuta anachezeshwa ngoma juani huku mwenzake akiwa pembeni kivulini kajaa vicheko
Operation UKUTA hata isipofanyika lakini kwenye medani za siasa na propaganda itakuwa imefanikiwa sana. ..
Mkuu wakipelekwa wao wanapeleka magodoro na tv.Wewe mtu mudawote, tangu kuumbwa kwa dunia, mahabusu huwa siyo pazuri na wala si kauli ya Lissu, acha uCCM wa kutoweza kufikiri
Mudawote tuwe wakweli ukiamua kuingia kwenye siasa kubali yote...hebu ona kinachoendelea marekani kwasasa, siasa hazina adabu,hazina staha hazina heshimamshana jr, tatizo siasa wanazoendesha upinzani si za kujenga. Hivi wewe unadhani kwa nini lowasa aliwaita chadema ni wanaharakati??? Hivi unadhani lowasa anafurahi hii hali??? Hivi lowasa unadhani anataka kushindana na rais??? Kama ulimsikiliza siku za karibuni alisema rais anafanya vizuri......, ila akina mbowe, lissu etc wao kila kukicha wanamtukana na kumdharau na kutaka kupambana na mamlaka ya rais, ilhali hawajui mamlaka yake, na ndiyo maana uadui umeongezeka kumbuka unapmtukana rais unatukana watanzania na vyombo vyake vyote
Kwa hiyo lengo la UKUTA ni kuhujumu mapambano dhidi ya mafisadi na wabadhirifu wa mali za uma sio. Mtatetea ufisadi hadi lini?UKUTA umempiga za uso mzee wa misifa hadi kasahau utumbuaji
mshana jr, mosi suala la US halinihusu sana kwani najua Trump==Tundu lissu/chadema na atashindwa vibaya mno. Pili, kwa Tz, tunachotofautiana na ninyi ni mfumo/uadilifu. Sisi tunaoamini ktk uadilifu tunawashangaa ninyi mnaosemea mfumo wakati lowasa (kama yeye) alienda akaubadili mfumo wa chadema kwa kutumia pesa na utashi wake, bado na sasa kawaambia waache uanaharakati (hiyo yote ni mifumo ya chadema).Mudawote tuwe wakweli ukiamua kuingia kwenye siasa kubali yote...hebu ona kinachoendelea marekani kwasasa, siasa hazina adabu,hazina staha hazina heshima
Na hili wewe ni mmojawapo umeshawatukana sana hao uliowata matusi makubwa tu si mara moja bali mara nyingi umewakashifu kuwabeza na kuwakejeli, ni wakubwa zako hawa watu na familia na ndugu na majukumu yao...
Kwasababu tu ya kutofautiana mitazamo ya kisiasa ukaamua kujivua utu wako ukisaidiwa na ID bandia kuwatusi hasa....na shida yako kubwa huzungumzii mfumo, hujadili hoja bali mara zote umepeleka kashfa kejeli na matusi kwa hawa watu...hii pia ni siasa lakini siasa chafu siasa majitaka
Niangalie mimi tunatofautiana mitazamo lakini sijawahi kufanya kama ufanyavyo wewe na kundi lako...Namkosoa Magufuli lakini simvunjii heshima yake wala utu wake kwakuwa nje ya cheo chake yule ni mkubwa wangu ni kaka yangu nk...nakushauri sana jizuie dhihaka kejeli na matusi tubishane na kupingana kwa hoja tena zenye mashiko...upinzani sio uadui