Operation UKUTA dalili za mapinduzi?

Operation UKUTA dalili za mapinduzi?

Kama katika maandamano hayo Mbowe atakuwa yeye, mkewe na watoto wake

lowassa awe yeye na mkewe na watoto wake

tundu lissu yeye na familia yake na ndugu zake mjomba shangazi na babu

lema yeye na mke wake na ndugu zake

profesa jay na mke wake (kama anae) na ndugu zake

ndesamburo na ndugu zake wote wa kule moshi

mzee mtei na watoto wake na ndugu zake kina haika

HALAFU WAWE KATIKA MSTARI WA MBELE wa maandamano hayo
hapo nitawaona wana akili na kweli wanataka mapinduzi

ila sio kuwatanguliza akina nanii mbele huku wao wako Dubai wanakunywa juice

nyumbu+px.jpg
Acha mawazo potofu wewe!!! Uliona wapi wanaharakati kubeba familia zao kwenye harakati zao za siasa?? Mkwawa alikuwa na mkewe katika vita? Kinjeketile je? Vita ya kagera Nyerere alienda na mkewe?? Acheni kutoa hoja zisizo na msingi kwa kuwafanya watu wote wajinga...
 
Duhh mi huwa natamani sana ingekuwepo United State of Africa huenda digrii yangu ningesomea pale Cape town University mkee ningeenda jimbo la kagame nikachukua mtoto mzuri nikaenda kuishi jimbo la Ghana,huenda hata hizi Siasa za unafiki zisingekuwepo,huenda tungekuwa na upendo,uenda siasa za maji,barabara,vyoo,shule,madaraja,madawati zisingekuwepo,huenda tungekuwa na katiba madhubuti ambayo haichezewi,huenda hizi siasa za mtu mmoja zisingekuwepo,huenda hizi siasa za CCM,UKAWA zingekuwepo,ila kama tulivyo wenyewe ulafi wa madaraka na muono hafifu ndio umetufikisha hapa,kwa unafiki huu historia itatuhukumu
 
Hawana jeuri ya kufanya mapinduzi. Yale magari ya kuwasha yalinunuliwa kwa ajili ya watu kama hawa wanaojifanya vichwa ngumu. Virungu pia vipo kwa ajili yao. Rais ameshawaambia hajaribiwi na hatojaribiwa.
Hawa wala sio wa kumnyima mtu usingizi. Wajipange kweli kweli kama wanayo mawazo ya kuitikisa nchi. Sana sana wataishia kuwa sehemu tu ya taarifa ya habari ya saa mbili usiku.
 
Ndg yangu Philipp,
Hawa ni mijeredi tu. Tuanze nao mitaani
 
Back
Top Bottom