Operation mchakamchaka yaipiga bao M4C

Status
Not open for further replies.
daah? yaani ulicho bandika ni sawa kuwa una tumbo la uharo lakini unafanya zoezi la kujamba! Hee? Ona sasa unalivyochafua hewa!
 
Kufichuliwa kwa Mikataba ya Kishoga na mikakati ya kidini ya CUF kumeharibu kabisa taswira nzima ya kisiasa ya CUF kwa kipindi kifupi sana.
Huku mtaani watu wanasema ''CUF sio ridhiki tena''
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…