Operation mchakamchaka yaipiga bao M4C

Status
Not open for further replies.
Nashangaa Liberal Party wanapambana na CHADEMA badala ya CCM.Anyways they must be aiming too high!

Mkuu usishangae kwani mke hapambani na mumewe ila hupambana na anayepambana na mumewe...
 
sasa mchakamchaka unatangaza sera za wa Liberal au kuna jipya? prof ameishiwa asubiri kuwa imam lkn si rais wa tanganyika.
 
Labda iishie huko wanakodai nchi kila kukicha! Waliberali hawana jipya, labda watakwenda kuomba huruma misikitini!
 
Nikikuwa namuaminia sana Prof. Lipumba!!! Lakini baada ya kusikia kauli zake za udini sasa sina imani naye tena!
 
polisi wamewabambataa saivi wanaogopa kuandamana chezea mwema ww
 

Bila kulinganisha Na Chadema siasa hainogi, kazi mnayo
 
Nikikuwa namuaminia sana Prof. Lipumba!!! Lakini baada ya kusikia kauli zake za udini sasa sina imani naye tena!


Ni mwendawazimu tu atakayemwamini Lipumba baada ya ile kauli aliyoitolea Msikiti wa Idrissa Kariakoo. I am sure baada ya "Wikileak" ya hivi karibuni kwamba chama chao kina ideology ya kishoga hata maulamaa waliokuwa wakibwagiza takbir siku ile alipomwaga pumba zake msikitini leo hii wanaweza kumsomea fatwa au dua mbaya.

Hata magamba wameshamtumia kama kondom, wamemaliza haja zao na mchezo umeisha - hawana haja naye tena na baada ya ngwe ya Kikwete Lipumba ndio atabaki takataka kabisa mbele ya magamba.
 
Chama cha wananchi hakiiiiiiiiiii

... kwa mashoga na wasagaji yaani kwa WOTE. Ha ha ha! Hebu jiondoeni kwenye hilo liumoja lenu la kutetea mashoga bana kisha ombeni waTz msamaha kwa kuikosea nchi yetu adabu. Yaani najisikia aibu kwamba kuna chama cha siasa kutoka Tanzania ni mwanachama wa maliberali duniani. Duh! Mola tunusuru.
 
Mtaendelea kuota m4c inazidi kupaaa!
 
Zanzbar,mtwara,lindi na tanga kidoooogo!!!
Hamna zaid ya hapo!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
zanzbar,mtwara,lindi na tanga kidoooogo!!!
Hamna zaid ya hapo!

Sent from my blackberry 9780 using jamiiforums
uchagani na kanda ya kaskazini sindo chama cha kikanda
 
Hiki chama cha CUF so riziki wakuu, Chama cha kigaidi na ni sawa na bhokoharamu kabisa.

Wanaharamu wakubwa hawa tena ni makhafiri wa kisiasa wapeleke ugaidi wao zenji na sio huku Tanganyika kwetu.
 

.....nabonyeza kizenji bonyeeeee....mdebwedo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…