Operation kula Mbaazi

Operation kula Mbaazi

2015ready

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2011
Posts
383
Reaction score
140
Ndugu Watanzania wote.

Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikisikia kilio cha wakulima wa Mbaazi Tanzania kutokana na kuporomoka kwa bei ya mbaazi kwenye soko la dunia. Pia nimefuatilia juhudi za serikali ya awamu ya Tano za kufuatilia tatizo ni nini? Na mpango kazi wa serikali katika kuhakikisha inawasaidia wakulima wa zoa la Mbaazi Tanzania.

Napenda kumpongeza Waziri Charles Mwijage (aka.Jembe) kwa juhudi zote anazo zichukua kushughulikia tatizo hili, pamoja na Raisi Magufuli. PONGEZI SANA.

Lakini namba kuwahamasisha watanzania wenzangu na wale wote watakaopata nafasi kusoma taarifa hii hapa jamii forum, kuwa, sisi watanzania pia tunahusika katika kusaidia kuporomoka kwa soko la zao hili hapa nchini kwetu Tanzania. Sababu kubwa inayochangia kuporoka kwa bei ya zao la mbaazi Tanzania ni kutokujua umuhimu wa lishe ya mbaazi kwenye miili yetu.
Tunakula nafaka za aina nyingi sana lakini mbaazi ni nadra sana ama hatuzijui kabisa kama zina exist.

NAOMBA NIANZISHE KWA KUHAMASISHA "OPERATION KULA MBAAZI" Kwa watanzania wenzangu ili, sio tuu kwa kusaidia "the principle ya Demand and Supply" bali kwa kufahamu umuhimu wa mbaazi kwenye mwili wa mwanadamu kiafya.

Nimejaribu kufanya research kuhusiana na "Umuhimu wa Mbaazi" mwilini na kugundua kuwa, MBAAZI ni kiboko yao. Naomba niiweke taarifa ya umuhimu wa Mbaazi mwilini kama nilivyoipata mimi ili ikusaidie wewe mlaji, alafu tuingie sokoni mamia kwa maelfu kununua zao hili kama mojawapo ya lishe muhimu sana mwilini.


NAOMBA KUWAKILISHA.
9 Surprising Benefits of (MBAAZI) Pigeon Peas
There is a wide range of impressive health benefits associated with pigeon peas, including their ability to stimulate growth, manage blood pressure, prevent anemia, boost heart health, lose weight, improve digestion, strengthen the immune system, increase energy and eliminate inflammation.

What are (MBAAZI) Pigeon Peas?
Pigeon peas have a bit of a funny name, but they play a serious role in the nutritional and agricultural practices of cultures around the world. Having been cultivated for more than 3,000 years on the Indian subcontinent, pigeon peas are not grown in tropical and subtropical regions across the globe. Southeast Asia is a particularly large consumer of this high-protein legume, but its popularity continues to grow and spread.

There are many uses of (MBAAZI) pigeon peas, from a cover crop or a windbreak to fodder for livestock, but many people are still unaware of the many nutritional benefits available from pigeon peas, both in their ripe and unripe states. Scientifically known as Cajanus cajan, these peas are often mixed with other grains, maize, or sorghum, or crushed into flour and used to make breads. The flavor is rather unremarkable, which is why they are so often combined in culinary uses, their benefits are undeniable, which has led to them being such a huge crop around the world.

In terms of medicinal benefits, pigeon peas can thank their diverse blend of protein, minerals, vitamin, organic compounds, dietary fiber, antioxidants and other unique components, all of which impact human health in different ways. The plant grows easily, even in harsh conditions, dries quickly and can be stored for extended periods of time, which makes them even more desirable in certain arid regions.

Health Benefits of Pigeon Peas
Over the centuries, these MBAAZI have gradually gained the reputation as a health food, so let’s take a closer look at the unique health benefits of pigeon peas.

Regulate Blood Pressure
One of the key minerals found in pigeon peas is potassium, and while this element plays a number of roles in the body, it is perhaps best known as a vasodilator, able to reduce the constriction of blood vessels and thereby lower blood pressure. For those suffering from hypertension or at a high risk of cardiovascular disease, adding pigeon peas to your daily or weekly diet is a wise move.

Growth and Development
The reason that pigeon peas have become such an irreplaceable part of the diet in many parts of the world is their densely packed protein content. A single cup of cooked pigeon peas contains 11 grams of protein. Protein is essential for normal growth and development, as it is the building block of everything from cells and tissues to muscles and bones. Protein is also important for normal healing and regeneration of cells throughout the body.

Prevent Anemia
The incredibly high levels of folate found in (MBAAZI) pigeon peas play a dual role within the body. First of all, folate deficiency is closely linked to anemia and certain neural tube defects in unborn children. Anemia is a very common affliction in tropical and developing countries, which makes pigeon peas all the more important. A single cup of pigeon peas provides more than 110% of the daily recommended intake of this important vitamin.

Anti-inflammatory Properties
Every part of the pigeon pea plant has been used in some form to cure inflammatory issues, including the leaves, seeds, and peas themselves. The organic compounds found in pigeon peas can quickly reduce swelling and inflammation throughout the body. More specifically, a paste made from mashed pigeon peas is a popular traditional medicine for piles, commonly known as hemorrhoids.

Weight Loss
Despite being loaded with nutrients, pigeon peas are moderate in terms of calories and very low in saturated fats and cholesterol. One of the problems with any diet is the feeling of hunger between those small, conscientious meals. The dietary fiber and wealth of nutrients found in pigeon peas will keep you feeling full, increase the rate of your metabolism and not lead to weight gain. In fact, most of the nutrients in pigeon peas convert to usable energy than storable fat.

Boost Energy
As mentioned above, the energy conversion of pigeon peas to energy is impressive, to say the least, and this is mainly thanks to the presence of B vitamins in these legumes. Niacin and riboflavin actively promote the metabolism of carbohydrates by the body, and prevent the storage of fat, thus boosting overall energy levels without packing on any pounds. This is ideal for people who live in arid climates, work physically demanding jobs, or deal with unusual climates that deplete energy quickly.

Strengthen Immune System
Sometimes raw is better when it comes to maintaining nutrients, and when it comes to vitamin C levels in these legumes, it is a smarter choice to chew on the raw green peas. The vitamin C content drops by nearly 25% once you cook the peas, so if you need a boost for your immune system, keep them uncooked! Vitamin C can stimulate the production of white blood cells and acts as an antioxidant in the body, thus promoting overall wellness and strong immunity.

Heart Health
The combination of potassium, dietary fiber and low levels of cholesterol all make pigeon peas a great choice for maintaining heart health. Potassium reduces strain on the heart by lowering blood pressure, dietary fiber can help to balance cholesterol levels and prevent atherosclerosis. By still delivering essential nutrients without unbalancing overall cholesterol with saturated fats, your heart will thank you!

Improve Digestion
Like many legumes, pigeon peas (MBAAZI) are a rich source of dietary fiber, which is well known to improve digestion. Fiber can bulk up the stool and promote more regular bowel movements, thus reducing strain and inflammation, and lowering the occurrence of constipation, bloating, cramping and diarrhea. Furthermore, fiber can improve the efficiency with which the gut absorbs nutrients, meaning that you get more out of your food!

KULA MBAAZI KWANZA. (BREAKFAST,BRUNCH,DINNER)
 
Mbaazi nzuri ni zile mbichi zipikwe na binti wa Kipwani...kisha kuwe na wali nazi,haki utazipenda.
 
Soko la ndani ni duni tutafute soko nje ya nchi.
Huku kijijini kilo bei sh. 200/-.
Ukizingatia mahindi serikali dharimu imezuia kuuza nje ya nchi wakulima wanachuki kwelikweli kwa watawala.
 
Soko la ndani ni duni tutafute soko nje ya nchi.
Huku kijijini kilo bei sh. 200/-.
Ukizingatia mahindi serikali dharimu imezuia kuuza nje ya nchi wakulima wanachuki kwelikweli kwa watawala.


My point exactly.
Wakati tunasubiria soko la nje lifunguke (Mtumiaji na Mlaji Mkuu wa mbaazi Duniani ni INDIA), sisi wenyewe tujiongeze. Tukihamasishana na kuhimizana baada ya kujua umuhimu wa mbaazi kiafya mwilini, basi tutaweza kupandisha bei ya zao hili kwa kuzingatia "The Principle of Demand and Supply".

Maharage (combat) yanauzwa 1kg kwa Tshs 2,400 . lakini faida ya MBAAZI far outweigh faida za maharage (ambayo imezidi mwilini) kwa walio wengi.
 
My point exactly.
Wakati tunasubiria soko la nje lifunguke (Mtumiaji na Mlaji Mkuu wa mbaazi Duniani ni INDIA), sisi wenyewe tujiongeze. Tukihamasishana na kuhimizana baada ya kujua umuhimu wa mbaazi kiafya mwilini, basi tutaweza kupandisha bei ya zao hili kwa kuzingatia "The Principle of Demand and Supply".

Maharage (combat) yanauzwa 1kg kwa Tshs 2,400 . lakini faida ya MBAAZI far outweigh faida za maharage (ambayo imezidi mwilini) kwa walio wengi.
Ok
 
Mbaazi nzuri ni zile mbichi zipikwe na binti wa Kipwani...kisha kuwe na wali nazi,haki utazipenda.

Umenena vyema kabisa! Natafuta kujua namna ya kuzitunza Kwa muda mrefu sijawa na uhakika, nafikiria kununua nyingi hasa napendelea mbichi nizichambue /nizimenye kisha niziweke Kwenye vyombo /vikontena vyenye mifuniko kisha niweke Kwenye deep freezer sijui zitaweza kukaa Kwa muda mrefu Hata miezi miwili mitatu bila kuharibika? Mihogo Nina uhakika ukifanya hivyo haiharibiki kuna Mtu aliwahi ishi Ubeligiji ndiye alinifundisha akasema wabeligiji wanakula sana mihogo na wanaandaa Kwa mtindo huo!
 
Umenena vyema kabisa! Natafuta kujua namna ya kuzitunza Kwa muda mrefu sijawa na uhakika, nafikiria kununua nyingi hasa napendelea mbichi nizichambue /nizimenye kisha niziweke Kwenye vyombo /vikontena vyenye mifuniko kisha niweke Kwenye deep freezer sijui zitaweza kukaa Kwa muda mrefu Hata miezi miwili mitatu bila kuharibika? Mihogo Nina uhakika ukifanya hivyo haiharibiki kuna Mtu aliwahi ishi Ubeligiji ndiye alinifundisha akasema wabeligiji wanakula sana mihogo na wanaandaa Kwa mtindo huo!

Umenena vyema kabisa! Natafuta kujua namna ya kuzitunza Kwa muda mrefu sijawa na uhakika, nafikiria kununua nyingi hasa napendelea mbichi nizichambue /nizimenye kisha niziweke Kwenye vyombo /vikontena vyenye mifuniko kisha niweke Kwenye deep freezer sijui zitaweza kukaa Kwa muda mrefu Hata miezi miwili mitatu bila kuharibika? Mihogo Nina uhakika ukifanya hivyo haiharibiki kuna Mtu aliwahi ishi Ubeligiji ndiye alinifundisha akasema wabeligiji wanakula sana mihogo na wanaandaa Kwa mtindo huo!


MBAAZI NI JAMII YA NAFAKA KAMA MAHARAGE, NJEGERE, KUNDE, NJUGUMAWE. utunzaji wake unafanana sana. tena mbaazi zina shell life kubwa kuliko nafaka nyingine. kama umezipata zikiwa Mbichi, basi "freezing technique" ndio njia pekee.
 
ili zivutie zaidi ongezea ZINATIBU NGUVU ZA KIUME uone wanaume wa Dar watakavyozichangamkia...sisi wa huku mkoani tumezoea ni chakula chetu hicho
 
Wandugu salama?
Nahitaji Mbaazi ya Arusha tu, tani 100 haraka iwezekanavyo.
Nanunua kilo moja kwa shilingi 600, Dar es Salaam.
0659890000
fmlyimo@gmail.com
 
MBAAZI NI JAMII YA NAFAKA KAMA MAHARAGE, NJEGERE, KUNDE, NJUGUMAWE. utunzaji wake unafanana sana. tena mbaazi zina shell life kubwa kuliko nafaka nyingine. kama umezipata zikiwa Mbichi, basi "freezing technique" ndio njia pekee.

Asante Kwa ufafanuzi!
 
Mbaazi hazina ladha. Ndio maana hazina soko hapa bongo. Suluhisho ni kama kunamatumizi ziadi ya kula kama mboga. Kama inawezekana kiextract hivyo virutubisho au kitengeneza pombe soko litakiwepo tu.

Njia nyingine hii serikali ni ya kilazimisha mambo kwa kauri. Waseme shule zote za secondary wale mbaazi atleast siku tatu kwa week.
 
Hatutaki kujambajamba,wahenga walisema akunyimae mbaazi,kakupunguzia mashuzi
 
Umemwaga Upupu usio na faida yoyote hapa...!!
Kuporomoka kwa SOKO la Mbaazi nchini tatizo liko wazi kabisa.

Hakuna asiejua kuwa kulikuwa na Mgomo baridi, kwa hawa Matajri wa Soko la Mbaazi Nchini (Magabachori)

Mnunuzi mkubwa wa Mbaazi ni Mtanzania mwenye asili ya India.

Tumeshuhudia Mgomo na anguko la zao la Mbaazi hapa Nchini, toka amekamatwa na kuwekwa Mahabusu Yusuphu Manji.

Hujuma dhidi ya zao la Mbaazi, zilikuwa wazi kabisa (japo waliongea chini chini) mpaka kufikia bei ambayo tulikwisha isahau kwa muda mrefu.

Wanunuzi wakubwa (Wahindi) kuweka/kufanya mgomo baridi, wakidai kukamatwa na kushikiliwa kwa Mwenzao (Manji) ambae ni Mdau Mkuu katika biashara hii, kwa tuhuma za kupikwa.

Kampeni hii ya Kula Mbaazi, haina nafasi kubwa sana katika kupanda, ama kurudisha thamani ya Mbaazi, katika Soko la ndani na kumnufaisha Mkulima.
 
Kwa Dar, tatizo ni upatikanaji wa mbaazi kwenye masoko.. Kwa kuwa mbaazi ni mbadala wa maharage, na bei yake ni nafuu, zikiwepo masokonh zitanunuliwa tu, hasa kipindi hiki cha magu!
 
Back
Top Bottom