Labda waanze na OPERATION MIZIZI ya kile kimesababisha wakaporomoka kisiasa.
.
"HERI KIJANA MASKINI MWENYE HEKIMA, KULIKO RAIS MPUMBAVU ASIYEJUA KUONGOZA".
Hii ni kama mtu aliyekuwa amelala ikifika saa mbili asubuhi anatakiwa kuwa yuko ofisini yeye sasa ndiyo anataka kujifunika shuka. Mtu huyu ni mpumbavu ndiyo inafanya CCM ni uchizi
Mkuu ukionaPAKA kakubali kulala CHALI tena mchana kweupo anzakusogoea nyumbani, ccm niyaviongozi na watoto wao a.k.a BMW sijui wataanzia wapi ambako bado wana wanachama.
labda operation za kiukoo wa wenye ccm,maana hiki chama ni cha watu fulani tu,familia,koo, wanarithisha uongozi km mali ya familia na ukoo,wengine wana vaa magwanda ya kijani ili kusindikiza tu wana ukoo.