Operation Gideon Chariots Inaendelea vizuri-Benjamin Netanyahu!!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
8,994
Reaction score
7,616
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema Operation Gideon-Charriots inaendelea vizuri na itafanikiwa kuwabinya magaidi wa Hamas mpaka malengo ya vita yatimie.

Mpaka asubuhi hii ya leo magaidi wa Hamas wanapigwa kila sehemu na majeshi yetu yamezishika sehemu zote mhimu.
Kwa Wahouthi tunajua aliye nyuma yao nasi tuna mw angalia kwa macho mawili!!


View: https://x.com/lionsofzion_org/status/1924196910640058388?s=61
 

Attachments

  • telegram_video.mp4
    4 MB
  • telegram_video.mp4
    3.4 MB
  • telegram_video.mp4
    2.5 MB
  • telegram_video.mp4
    6 MB
Ila kusema ule ukweli Allah wa hamas ana kazi kweli kweli
 
IDF hana huruma kwa mabomu anayoshusha leo ni habari ingine
 
Netanyahu amezeeka kinoma hadi amekuwa mdogo nadhani kwa sasa atakuwa anavaa troiser size 32
 
Aljazeera hayo majengo hawataki kuyaonesha maana wanasema Gaza imekuwa flat
 
hivi hivi tu ila tunaweza fika nayo hii vita mpk 2030
 
Kama ni majuto Hamas wanajuta hasa basi tu wengine hawalioni hilo haya tuseme ukweli walichofanikiwa wao ni kipi? Akishamalizana na Gaza Rasmi anahamia kwa Houth
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…