Ndugu wana JamiiForums naomba kuleta uzi huu hapa jamvini na kuwafahamisha kuwa operation inayoendeshwa na CHADEMA ktk jimbo la Moshi (v) ni shida, kusema ukweli jamaa wamejipanga aisee!!! Mbunge wangu jipange kutetea kiti chako.
Ndugu wana jamii Forum naomba kuleta uzi huu hapa jamvini na kuwafahamisha kuwa operation inayoendeshwa na CDM ktk jimbo la Moshi (v) ni shidaaa, kusema ukweli jamaa wamejipanga aisee!!! Mbunge wangu jipange kutetea kiti chako.
Mkuu yaani kwa kifupi ni kwamba kuna operation ya siku 12 kuanzia tarehe 30.10.2014 mpaka 09.11.2014 kata zote za Moshi (V) kwa sasa wapo Mabogini moto unawashwa ninayo time table kwenye simu yangu nashindwa kui attach hapa jamvin kama una una whatsup ntumie number nkurushie time table mkuu...
Ndugu wana jamii Forum naomba kuleta uzi huu hapa jamvini na kuwafahamisha kuwa operation inayoendeshwa na CDM ktk jimbo la Moshi (v) ni shidaaa, kusema ukweli jamaa wamejipanga aisee!!! Mbunge wangu jipange kutetea kiti chako.
Juzi Jumanne mwenyekiti wa wazazi wa wilaya wa CHADEMA na mwenyekiti wa kijiji cha Tsuduni CHADEMA walivua kombati wakavaa magwanda. Hapo ni delete CCM au delete CHADEMA?

nyie mnafanya operation ya siku 10, sisi tuko na wananchi kila siku iendayo kwa mungu, jitafakarini na operation zenu jaman wandugu, siasa azifanyiki hivyo,