Mkuu hapa ungelikuwa sahihi kama elimu ya uraia na mabadiliko ya Katiba yamefanyika. Nachelea kusema kuwa bado tuna safari ndefu kuelekea katika ukombozi.Kuondoka kwao ni mwiba kwa CCM,kutokuondoka ni mwiba kwa CCM.
Wao kwa nafasi zao wapime tu ukubwa wa tatizo.
Ama CCM ife wakiwemo ama waiache ife yenyewe.
Inabidi tuwatie moyo hawa jamaa wabakie humo humo CCM.. it is good for the party and for their interests.
mkuu hapa ungelikuwa sahihi kama elimu ya uraia na mabadiliko ya katiba yamefanyika. Nachelea kusema kuwa bado tuna safari ndefu kuelekea katika ukombozi.
So far there is no evidence whatsoever put forth by the ruling party that you are the most corrupt members of the part. No one has accused you publicly or has even claimed that there is enough evidence to warrant your removal from the party. At least the Mwakyembe's report had some resemblance of credible allegations especially againt EL and RA but not this so called "skin shedding".
For this reason, I believe you will do your part and your supporters a huge favor and justice by not resigning from any party position and as a matter of fact any measure that will be taken against you should be met with a forceful and precise response.
They have failed to even name you in their public report of the party, they failed to level any credible allegation beside saying "these people have been named by a number of citizen and media that they are involved in corruption".
If you agree to resign you will infact prove without any doubt that you are the most corrupt CCM members ever! By resigning or quitting the party the allegations that have been on your tails for sometimes now will need no further proof. You will go down in history as the most corrupt public officials ever to have hold power.
Are you? Well CCM believes that you are to warrant the resignation of both the Central Committee and the Secretariat. If you resign or quit within the 90 days the answer will be in the affirmative.
I know for sure one thing after 90 days CCM will not do anything against you and still remain credible. They can't fire you, they can't just take your party membership without due quasi judicial course within the part as outlined in the CCM's own constitution or the Principles of Ethics guideline.
So.. stay put, enjoy your position, work like ever before and don't mind the new CCM leadership. They can't do a damn thing.
Rostam ndiyo alivuruga hii operation chaos; but so far wahusika wameitekeleza to perfection!!! and the chaos continues!
Rostam ndiyo alivuruga hii operation chaos; but so far wahusika wameitekeleza to perfection!!! and the chaos continues!
Kama mtu yeyote angeza kutabiri kuwa siku tisini zisingekuwa na tija kukipevua chama na kukifanya KIPYA! Inakuwaje Waasisi wa kampeni ya jivue gamba ... Wawe na Upofu kuliko mtu wa kawaida tu!
unajua watu wengi toka mwanzo walielewa kuwa nyoka habadiliki kwa sababu anaimba ati yeye samaki! Kisa nini "ati hana miguu". well wengi walielewa mapema tu kuwa CCM ni vigumu kubadilika bila kufa.
You did hit The bull's eye!....Mkuu Mkandara,
Ninakusoma sana na kukuelewa vyema na ninakubaliana na hoja zako. Mahali ambapo ninatofautiana na wewe ni sehemu moja tu, JK ndiye top wa CCM na ndiye mwenye final say kwenye maamuzi yaliyo mengi yawe ni ya CC au NEC. Mapungufu ya JK ni kwamba hana ujasiri wa kuwaweka kando hao jamaa zake. Ndiyo maana Lowassa alishasema kwamba urafiki wake na JK hawakukutana barabarani. Kilichopelekea mpaka JK kufika hapo alipo ni pressure kutoka ndani ya chama kwamba jamaa waondoke.
Nimejitahidi kufuatilia kwa ukaribu mjadala wa yaliyojiri kwenye CC na NEC, hakuna mahali JK alifungua mdomo kutaja mafisadi na ilihali anajua kila kitu kilichotokea. Cha maana alichosema ni kwamba watu wasimung'unye maneno, waseme kwa uwazi bila kuogopa. Hiyo ina maana kwamba alikuwa anakwepa lawama ili asije akaonekana ni mbaya. Swali langu ni hili: kwanini anawaogopa? Kama kweli yeye kashika mpini na ndiye Rais wa nchi kwanini awaogope?
Waziri Mkuu Mizengo Pinda alishawahi kutamka wazi kwamba mafisadi inabidi serikali iende nao taratibu maana wana ukwasi mkubwa sana na kama wakiendewa kwa pupa nchi inaweza isitawalike. Maneno yanayofanana na hayo yalitamkwa na IGP. Sasa kama Waziri Mkuu na IGP wanawaogopa mafisadi, hao mafisadi wana nini haswa ambacho kinaitisha serikali?
Kwa hiyo pamoja na kwamba CCM ndio chama tawala na ndio kimeshika mpini, mwenyekiti wake hana ujasiri wa kuwatosa hao jamaa. Hivyo ninaungana na wale wanaosema jamaa wakomae ndani ya chama tuone watafanywa nini.
Lowassa na Rostam hawana incentive ya kutoka kwenye chama kwa kuwa kuwepo kwao ndani ya chama kunawahakikishia usalama wao na mali zao. Wakikubali kutoka sidhani kama wataendelea kuwa salama, na hawawezi kuwa nguvu ambazo wamekuwa nazo miaka yote ya utawala wa JK. Kinachonifurahisha ni kitendo cha Nape Nnauye kuendelea kuwasema, nasubiri mzee wa kususa (Lowassa) aje aseme amedhalilishwa sana kwenye majukwaa kwamba yeye ni fisadi.
Kinachoendelea ndani ya CCM ni mtaji kwa wapinzani na utakuwa mtaji mkubwa sana iwapo hao mafisadi watagoma kuondoka kwenye chama.
Mkuu, soma habari vizuri. Sidhani kama kuna mtu kaoshwa hapo. Watu wameambiwa wafanye maamuzi, ambayo matokeo yake, kwa uamuzi wowote ule, yatakuwa na athari kwa ccm.