Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,627
- 5,258
Ndugu naombeni msaada ,mimi binafsi yangu nimekuwa nikitumia operamini kwa mda mrefu pasipo kujua kuwa kuna browerser zingne .hv leo ndo nimesikia sikia kuwa kuna nyngne pia .Je ni zipi hzo wakuu na ni kwavigezo gani naweza ziinstal kwa cmu yangu
Uc browser ni nzuri pia
Black berry
Sidhani kama blackberry ni open source browser. Lazima uwe na blackberry hardware na inakuja preinstalled.
NIdownload uc browrse ip. Kwa link ipi
unatumia simu gani.!!
sema unatumia cm gan mkuu,
KAMILISHA