operamini mpya yaekwa download manager inayoresume

Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,854
Points
2,000
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,854 2,000
hii ni habari njema kwa wanaotumia simu za java na blackberry ambao walikua wakidownload wanashindwa kuresume mafile yao pindi network ikikata.

Wengi wetu tulikua tukitumia opera kwenye kubrowse na ucweb kwenye kudownload kwa ajili hii.version hii mpya ya opera inaitwa 7.1 na mpaka style ya kudownload itabadilika.

Thanks opera kwa kuzijali simu ndogo hadi leo
 
UncleUber

UncleUber

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Messages
4,987
Points
1,250
UncleUber

UncleUber

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2011
4,987 1,250
sie wa android tunaenjoy kitambooo
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,854
Points
2,000
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,854 2,000
yah mkuu C6 android na symbian long time ina resume leo ni siku ya watu wa bb na java phone almaarufu j2me
 
Last edited by a moderator:
nurbert

nurbert

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Messages
1,912
Points
1,225
nurbert

nurbert

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2012
1,912 1,225
j2me .. Hyo huwa siielew maana kwenye symbian yang huwa yanajicreate mafail ya j2me
 
SuperImpressor

SuperImpressor

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
1,047
Points
1,195
SuperImpressor

SuperImpressor

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
1,047 1,195
hii ni habari njema kwa wanaotumia simu za java na blackberry ambao walikua wakidownload wanashindwa kuresume mafile yao pindi network ikikata.

Wengi wetu tulikua tukitumia opera kwenye kubrowse na ucweb kwenye kudownload kwa ajili hii.version hii mpya ya opera inaitwa 7.1 na mpaka style ya kudownload itabadilika.

Thanks opera kwa kuzijali simu ndogo hadi leo
Mbona hata 7.0.31438 ina hiyo kitu. Ila UcWeb nayo inakuja kasi kweli kweli na kitu nilichoipendea Operamini 7 ni wakati unapotaka kudownload file from file sharing websites kwa kweli kanajitahidi ingawa ni kwa kubahatisha au kulazimisha. Yaani kila browser na madhaifu yake Operamini 7 kwenye jamii forums avatar hazionekani lakini Ucweb inazionyesha.
 
UncleUber

UncleUber

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Messages
4,987
Points
1,250
UncleUber

UncleUber

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2011
4,987 1,250
Last edited by a moderator:
nurbert

nurbert

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Messages
1,912
Points
1,225
nurbert

nurbert

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2012
1,912 1,225
kwenye cmu yangu kuna mafolder huwa yana ji creaje kwa jna hlo la j2me... Huwa sielew n k2 ganii
 
NingaR

NingaR

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2012
Messages
2,801
Points
1,225
NingaR

NingaR

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2012
2,801 1,225
bado tutahitaji kutumia UCbrowser kene kudownloa maana uki exit au simu kujizima Ukiingi kene opera ile file ulio kua unadownload inakua imepotea mpaka uanze upya, but UC ita pick up wher the phone ilipo zima, still opera has a job to do,

Running Opera Mini 7.5 in Android
 
SuperImpressor

SuperImpressor

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
1,047
Points
1,195
SuperImpressor

SuperImpressor

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
1,047 1,195
bado tutahitaji kutumia UCbrowser kene kudownloa maana uki exit au simu kujizima opera itaanza mwanzo, bu UC ita pick up wher the phone ilipo zima, still opera has a job to do
Ni kweli mzee
 
Ni kweli mzee Ucweb Download manager yake imetulia
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,854
Points
2,000
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,854 2,000
bado tutahitaji kutumia UCbrowser kene kudownloa maana uki exit au simu kujizima Ukiingi kene opera ile file ulio kua unadownload inakua imepotea mpaka uanze upya, but UC ita pick up wher the phone ilipo zima, still opera has a job to do,

Running Opera Mini 7.5 in Android
mkuu natafuta opera hio nihakikishe mwenyewe huwezi jua improvement ipo kiasi gani.
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,854
Points
2,000
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,854 2,000
j2me .. Hyo huwa siielew maana kwenye symbian yang huwa yanajicreate mafail ya j2me
mafile yenye nature ya java ndo j2me yale ambayo mbele yanaishiwa na .jar au .jad ukidownload
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,854
Points
2,000
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,854 2,000
ok nimetafuta na link nimeitafuta nimebahatika kuipata link hii hapa

http://mini.opera.com/global/opera-mini-7.1.32052-advanced-en-gb.jar

nilichogundua ni kua kama version zilizopita still operamini ya j2me haiwezi kudownload mafile ya jar.

Ila kwenye media mejaribu kudownload mziki i was impressed ilikua same au more than ucweb link hio hapo juu mnaweza kutest

wakati unadownload utaona wanakuuliza either usave au uopen udownload na browser hii nafkiri ni ya kawaida. Inajulikanathen stage ilofatia opera inakupa vibox viwili kimoja una option ya kuona jina na kurename na cha pili kuchagua location ya file zamani ilikua unachagua location ya file tu.ukishaclick ok itaanza kudownload then mimi nikajaribu kupause ikiwa imedownload 2.3 kati ya 3.3 ya download nzima kama unavoona
then nika exit opera nikarudi tena nkaikuta download haijapotea na nkaresume ikakubali

so bwana ningar opera wamechange

ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
27,725
Points
2,000
ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
27,725 2,000

iko poa balaa...
 
Now am impressed
 
Cestus

Cestus

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Messages
997
Points
0
Cestus

Cestus

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2011
997 0
This future was introduced a while back wth opera mini 5!!!
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,854
Points
2,000
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,854 2,000
ila ilikua hairesume uki exit
sio kuresume tu hulikuti kabisaa. Ukitaka ku exit inkuuliza ''are u sure you want to exit? There is ongoing download'' uki exit ukirudi file hulikuti''
 
Forum statistics

Threads 1,296,625
Members 498,672
Posts 31,254,136
Top