Opera Heist: Uhalifu Uliokamilika

Iko poa. Vipi nikifanyia majaribio hapo bongo?
 
Sina nyongeza ila kwa wenzetu mwizi wa namna hiyo ni resources pia... Kukamatwa kwake ni kuzuia uhalifu wa aina hiyo kutokea tena ama wao pia kujifunza mbinu za huyo jamaa na mipango yake mingine.
Kama zile ambazo wanapeleleza vifo vya watu waliokufa. Unaweza kuhisi wanapoteza resources ie time , money na mtu ameshakufa.
 
Huyu Singh,nafikiri alikuwa na bahati tu,alitegemea bahati tu. Tayari alishafanya kosa la kutangaza ajira ya maafisa interejensia kwenye gazeti. Hapo tu bahati hilo gazeti halikufika mikononi mwa maafisa wenye kuhusika na interejensia. Ama vinginevyo alisoma uzembe ktk hiyo idara. Vinginevyo wangefuatilia nini kinaendelea baada ya lile tangazo la gazeti
 
Unapoamua kuandika story humu....andika umalize....wengine tushaenda huko google kuimalizia
Na nina uhakika huna muendelezo
Kwa hiyo hapo unaonekana ni mjanja na wewe? Kwa nini usituletee sasa wewe hiyo story? Usikatishe tamaa wengine wanaojitolea kuburudisha wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…