Opera Heist: Uhalifu Uliokamilika

Sigh kahakikisha hata picha hawapati.
CBI wanatumia hela nyingi sio kwa kutaka kumpata mwezi pekee bali kujua mbinu aliyoweza kufanya tukio hadi leo imebaki historia
A smart move under simple plan.... Kikubwa alichokitumia kama weapon ni confidence na appearance
 
Next time nitag kwenye haya mamovie...
Ila mbona mbinu hii ni sawa na ule wizi wa bank wa jamaa aliyepita mtoni marekani kule?
Usiwaze mkuu...
Yeah umefanana na mbinu za kutangaza kazi bandia japo context ni tofauti...
 
Huyu jamaa alitumia akili kubwa sana. Nathubutu kumuita nwizi bora. Kongole sana mkuu.
 
Kuna series naangalia ya money heist professor ananifurahisha zaidi Tokyo walipokwenda kuiba dhahabu

Kwenye section ya kutoboa vault ya dhahabu Nairobi katisha sana... Tokyo mapenzi yanamuondoa kwenye reli sana.
 
Haswaaa... Ona jamaa anakaa 5 star hotel kwa siku tano, analipia tangazo, analipia ukumbi sku mbili, analipia bus na anawapa vijana michuzi ya nauli
.... Bado yeye kuonekana smart kama kitengo ili usishtukiwe
Kwa wenzetu,
Wizi ni biashara kama biashara nyingine
Wizi unahitaji mtaji na Uwekezaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…