Habari Jamii. Poleni kwa msiba wa Kanumba ingawa naona kama maigizo vile. Naomba mnisaidie,nataka kununua mojawapo ya bidhaa nilizoandika hapo juu na nimesha fanya mawacliano na kampun hucka. Hivi nikiamua kununua itanilazimu kulipia kodi? Na uki2mwa kwa DHL nitaupokelea wapi mzigo wangu? Aidha wamenipa option 3 za usafiri, DHL,Ems na Hongkong post. Naomba faida na hasara za njia hizo.