loan ni janga la taifa hata ukihama hautapata loan,,,hapo open unaweza kusoma hata bila loan mambo yakasonga tuDaa kibaya zaidi loan haijaeleweka mkubwa
wakala wa TCU huku JF sio?🙂🙂sodoka kila chuo anakijua shauri yako.....[emoji3] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ni December mkuu wamepostponeTukutane 12 November pale chuoni kwaajili ya orientation.. Mie naenda kupiga uchumi hapo
mkopo wapi mie wananidai hao wase.....ng....esodoka umepata mkopo
SODOKA ON AIR ZIKITOKA AJIRA TCU UWE UNA SIKILIZA MALALA MIKO JUKWAA LA ELIMUmkopo wapi mie wananidai hao wase.....ng....e
hiv ni kwamba serikal haina ela au vp tutapata mkopo kwel mwaka huumkopo wapi mie wananidai hao wase.....ng....e
Tembelea website ya TCU wametoa taratibu za kuhama! Mwisho wa mchakato huo ni tarehe 18/11/2016.Kwanza natanguliza salam! Mimi ni mhitimu 4m6 mwaka huu na nimepangiwa open university ( bachelor' of science with education) nilikuwa naomba ushauli kwa yeyote ambaye amachaguliwa hapo na amefanikiwa kufanya transfer,mana nawaza kuhama hapo, au kama kuna yeyote anayejuwa taratibu za transfer!