Open university of Tanzania

Mayova

Senior Member
May 10, 2018
182
123
Jamani wapendwa kuna vigezo gani vya mtu kuweza kusoma open university? Naombeni msaada wadau wangu maana humu kuna watamu kweli
 
Kwenye hiyo link ya out ulopewa download prospectus ya 2017/2018 utapata majibu ya maswali yako yote.
 
Jamani wapendwa kuna vigezo gani vya mtu kuweza kusoma open university? Naombeni msaada wadau wangu maana humu kuna watamu kweli
Vigezo kuingia OUT ni
Certificate - Awe na atleast pass 4(D 4) O level

Foundation Programme- Awe na Form 6 ufaulu wa E na S(1.5 cutoff point) au Diploma ufaulu wa kuanzia 2.0 GPA au certificate NTA level 5.

Diploma- Awe na atleast Form 6 ufaulu wa E na S Yaani cutoff point ya 1.5
Au awe na certificate kutoka chuo kinachotambulika na Serikali.

Bachelor- Awe na form 6 Ufaulu wa principal pass mbili zenye cutoff point ya kuanzia 4( mfano: D na D, C na E etc) AU awe na Diploma GPA ya kuanzia 3.0

Masters- Awe na bachelor inayoanzia GPA ya 2.7

PHD- Awe amemaliza masters yake
 
Diploma kuna course za Kitivo cha Sayansi ya Jamii??
 
Write your reply... open university anaweza soma mtu yeyote yule au ambae yupo kwenye ajira.
 
Back
Top Bottom