Fanya transfer uhamie chuo kingine au kama unaweza msuli wa open komaaMkuuuu nimelazimika kukijaza baada ya kutemwa afya awamu 2 ckwamba nilikuwa nakitaka we nishauli nn nifanye

BEDkozi gani mamy
Orientation inafanyika kwenye kila centre ya Open university.Ccta naomba nisaidie no yako unipe mwongozo mi Niko mwanza Ila najipanga kuwahi orientation dar tar12 November