Open university of Tanzania

Open university of Tanzania

gadi alex

Member
Joined
Sep 29, 2016
Posts
74
Reaction score
27
Wadauu Mimi ni Mdogo wenu ambaye nimechaguliwa 4th round pale open university naomben mwenye taarifa yyte kuhusu chuo hiki anisaidie! Hasa mazingira yake na kama kina hostel pia nijuze!!!
 
Umechaguluwa tawi ngani maana open wana matawi mengi sana.
 
Mimi nakushauri uhamie chuo kingine ukasome full time. Hata mimi dada yangu kachaguliwa pale lkn now nipo kwenye utaratibu wa transfer
 
Wadauu Mimi ni Mdogo wenu ambaye nimechaguliwa 4th round pale open university naomben mwenye taarifa yyte kuhusu chuo hiki anisaidie! Hasa mazingira yake na kama kina hostel pia nijuze!!!
Sidhan kama unakijua vizuri chuo hiki maana naona unaulizia hostel.

Umechaguliwa kozi gan na tawi gani??
Maana kozi karibu zote na matawi karibu yote unasoma through Distance Learning (unajitafutia mwenyewe, chuo mnaenda kwa ajili ya face to face session, na mitihani) isipokuwa kozi ya ICT main Campus inaendeshwa full time, kozi zingine fuatilia.
 
Campus cjajuwa wadau ila kozi ni bachelor of science with education! Na wanaandika leaning distance apo cjawaelewa!!
 
Campus cjajuwa wadau ila kozi ni bachelor of science with education! Na wanaandika leaning distance apo cjawaelewa!!
Aisee... Sasa wewe unajazaje vitu ambavyo huvielewi?
Open University ni chuo huria, yaani sio chuo cha kusoma full time (kusoma muda wote, kuingia madarasani kama shule). Open ni unajisomea mwenyewe nyumbani, na ndio maana wengi wanaosoma hapo huwa ni waajiriwa tayari au wamejiajiri. Pale unaenda siku ya face to face session na siku ya mtihani tu.

Ila umenishangaza sana kuchagua kitu ambacho hukijui.
Na maana ya Distance learning ni kusoma ukiwa mbali. Yaani hakuna madarasa kwamba utaenda kufundishwa.

Btw kama hujui hata what is distance learning kazi ipo!
 
Mkuuuu nimelazimika kukijaza baada ya kutemwa afya awamu 2 ckwamba nilikuwa nakitaka we nishauli nn nifanye
 
Mkuuuu nimelazimika kukijaza baada ya kutemwa afya awamu 2 ckwamba nilikuwa nakitaka we nishauli nn nifanye
Ulikuwa hutaki kuwa mwalimu hatima yake utakuwa mwalimu,inawezekana tangu mwanzo ungeomba BScEd(UDSM) ungepata.

Hicho chuo ulichochaguliwa unasoma ukiwa nyumbani,utaenda kufanya mitihani na mengine ambayo mimi siyajui.
 
Mkuuuu nimelazimika kukijaza baada ya kutemwa afya awamu 2 ckwamba nilikuwa nakitaka we nishauli nn nifanye
Tafuta chuo kingine iko kinawafaa watu walioajiriwa na no kuingia class unajisomea mwenywe kwenu thn unaenda siku za mitihani na face to face tu na mwalimu wa kukufundisha unajitafutia mwenyewe
 
Wadauu Mimi ni Mdogo wenu ambaye nimechaguliwa 4th round pale open university naomben mwenye taarifa yyte kuhusu chuo hiki anisaidie! Hasa mazingira yake na kama kina hostel pia nijuze!!!
kama hutaki kusoma hapo tcu wametoa muda wa transfer unaweza kuingia kwenye web yao ukasoma tangazo lao la kuomba uhamisho kwenda chuo kingine
 
Wadauu Mimi ni Mdogo wenu ambaye nimechaguliwa 4th round pale open university naomben mwenye taarifa yyte kuhusu chuo hiki anisaidie! Hasa mazingira yake na kama kina hostel pia nijuze!!!
Open University inatoa elimu masafa na ina changa moto zake kwani wanakupa miongozo ya masomo na wewe unajitayarisha kwa kutumia miongozo hiyo kwa kawaida bila kuingia darasani-unajisomea nje ya darasa (nyumbani etc). Sasa swali moja wewe uko wapi? Kama uko Dar (huenda pia miji mikubwa mingine) unaweza ukajipanga na ukamaliza ndani ya miaka 3-4. Nina mwanangu alifanya hivyo akiwa Dar (alichukua masomo ya Art) lakini ni imani yangu hata science unaweza. Ukiwa kwenye miji midogo changamoto zinaweza kuwa kubwa. Hivyo una option ya kuhama chuo au hiyo niliyoweka hapo juu. Tembelea kituo chako halafu uamue baada ya kupata maelezo.
 
Back
Top Bottom