Open university of Tanzania

Open university of Tanzania

OUT ni chuo kizuri na ni cha Serikali acheni kukipaka upupu
 
Wanaosoma Open kama wewe ni waliofeli siku zote
Si kwamba watu wote wanafikiri kama wewe. Kuna mtu anamaliza six anapata kazi inamlipa 800,000/= sasa kwa nini aiache hiyo pesa yote? Mimi mwenyewe nimeomba BSc. ICT OPEN UNIVERSITY.

Kwa hiyo usikariri maisha watu wanaishi kwa malengo. Wakati wewe unatoka chuo na kuanza kuzunguka na bahasha wenzio wanaendeleza project zao na kutafuta kuwaajiri watu kama nyie msiojitambua.
 
Mkuu umeomba mwaka huu?nimeomba law lakin tcu bado??
 
Nenda open kwa taarifa kamili,by ze way kama ulishasoma foundation unaweza kuunga degree lkn hiyo foundation ya open tu,na c kwingne achana na hao wa udsm ,wamezoea kupewa za mezani nani asiyejuahilo,watabisha coz ubishi kawaida yao.huyo wa dsm aweza kuwa na gpa4.5 lkn hasweze kucompare na wa open wa gpa ya 3.0,serkali wenyewe wanakijua kwamba out ni kuku wa kienyeji sio wa kisasa,usikimblie jina ,kuna baadhi ya course ud wapo nondo lkn s zote.
 
Mkuu umeomba mwaka huu?nimeomba law lakin tcu bado??
Ndiyo nimeomba mwaka huu na system inasema "I am conventionally selected" so muda si muda vyuo vitarudisha majina TCU
 
Back
Top Bottom