Open university of Tanzania

Open university of Tanzania

Foundation mwaka huu haipo tena na wale ambao walishapita hapo yan wako mwaka wa pil wanaendelea kama kawaida
 
Achananeni na foundation maisha ya mkato mkato sasa hivi hayapo.......ila pamoja na hayo MTU aliyefaulu Foundation Open university of Tanzania ana uwezo Mkubwa sana kuzidi wanafunzi wenye degree za mezani kama za Udsm....Udom n.k
 
Soma UDSM acha porojo, umesoma machakani sasa watafuta sifa ambazo huna
 
Achananeni na foundation maisha ya mkato mkato sasa hivi hayapo.......ila pamoja na hayo MTU aliyefaulu Foundation Open university of Tanzania ana uwezo Mkubwa sana kuzidi wanafunzi wenye degree za mezani kama za Udsm....Udom n.k
Wanaosoma Open kama wewe ni waliofeli siku zote
 
Ha ha ha sijawahi kupata F.......aiseee katika maisha yangu mie hivyo vyuo vyenu vya degree za mezani sikuvutaka...habari za kukalilishwa na MTU mmoja mie sikuzitaka ....
 
naona vyuo kama udsm and udom kunA program wanapewa degrree bila msote pass mark zipo chin
 
Back
Top Bottom