LTN USU WA MADOSO
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 1,192
- 859
kwenye centers za open university walikuwa wanawashawishi watu apply direct chuoni moja kwa moja kwa ngazi ya degree ukiwa unaenda kuulizia utaratibu mwaka huu kumbe waongo hawatoi majina ya walioapply direct chuoni moja kwa moja na baada ya kujua wametapeli watu walikaa kimya huu ni wizi unaondeshwa na taasisi hii ya serikali