al-bauly
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 343
- 108
Unapoomba TCU napo hutakosea ila utakuwa ni watu ambao wamepata admission mbili (Sijui mfumo wao sasa) na itakupelekea aidha TCU wakuchagulie chuo wao au uchague wewe, yote yawezekana usiwe na wasiwasi utachagua unachotaka wewe kwa mfumo wa barua.asante mkuu je ?? nikiapply tena kupitia tcu? nitakosea?je loan board hawatasumbua boom
Kuhusu loans board hawahusiki sana na TCU ila ukipata mkopo utatakiwa ufanye procedure za kuuhamisha kutoka sehemu moja kwenda nyengne(Ikiwa hukwenda chuo walichokupangia TCU) na ni process inayochukua muda na utahitaji kuwa na chochote kwa matumizi na ada ya usajili, maana board haitakudhamini kwa hicho chuo mpaka uhamishe huo mkopo wako.