Kuna mazingira of course inabidi msijulikane
Mfano
Baba mwenye nyumba na housegirl!!
unataka lijulikane ili?
Mnaendelea kufinyana mbavu koridoni tu au car parking.
Lol!
Inategemea na mtu m maisha yangu napenda privacy sana cjui n kupenda ila nko hvo binafs m sikuweza kuweka mahusiano yangu waz hata siku moja na nmefanikiwa katika hlo hata kipind nasoma skuwah kuwa na rafk wa kujadili nae mahusiano yangu