Open or secret, kipi bora

stritglow

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2018
Posts
620
Reaction score
1,759
Kuna mahusiano ya aina mbili.

Yale open, ambapo watu wengi wanajua kina fulani wako in a relationship, iwe mtandaoni, au labda mtaani, au shuleni/darasani. Au tu marafiki zenu wengi wanajua uko in a relationship na fulani.

Na kuna mahusiano yale ya lowkey/secret. Ambapo unakuta hamna mtu anaejua mko in a relationship, labda watakao jua ni wachache mnao, either labda ni ma-bestfriend zenu au mtu mmoja mmoja. Ndo ile mtu siku unakuja kugundua fulani na fulani walikuwa wanadate unaweza hata usiamini maana hawakuwa wanaonyesha dalili zozote zile kwamba kuna kitu baina yao.

So kwako kipi bora, mahusiano yaliyo open au secret?
 
Kwa hiyo unanishaurije na nimesha comment?
The second part of your comment is still valid.

Ila kwanini uuite ni wizi, pale ambapo watu wanaficha mahusiano yao. Wengine unakuta hawapendi tu watu wajue kuhusu their relationships. They like to keep things private.
 
The second part of your comment is still valid.

Ila kwanini uuite ni wizi, pale ambapo watu wanaficha mahusiano yao. Wengine unakuta hawapendi tu watu wajue kuhusu their relationships. They like to keep things private.
hamna point hapo. hutaki kwanini? hutaki sio sababu ila ni tendo.
 
hamna point hapo. hutaki kwanini? hutaki sio sababu ila ni tendo.
Privacy is a reason. Ndo maana nikamalizia na, "They like to keep things private."
 
Kuna muda mahusiano kuwa secret kuna faida zake ila pia kuwa open kuna zaida pia kutokana na malengo yenu.

Chukulia mfano umeoa kisha una mahusiano na mwanamke mwingine utataka yawe open?

Chukulia umempenda mwanamke na unahitaji kumuoa utakuwa secret?

Yote yana raha yake kutokana na jinsi mlivyo kubaliana japo inategemea ni jinsi gani mnapendana.

Binafsi siinjoy mapenzi yaliyo open zaidi bali yawe secret ila kwa wachache wajuwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mazingira of course inabidi msijulikane
Mfano
Baba mwenye nyumba na housegirl!!
unataka lijulikane ili?
Mnaendelea kufinyana mbavu koridoni tu au car parking.
Lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…