Oparesheni shahada mkononi

Oparesheni shahada mkononi

laigwenan

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2012
Posts
325
Reaction score
80
CHADEMA wabunifu sana hadi raha ili kuhamasisha watu kwenda kujiandikisha wamekuja na oparesheni nyingine inaitwa operasheni shahada mkononi yaani badala ya kuonesha vidole viwili juu watu wanaonesha vitambulisho Vya kupigia kura juu,nikisema CHADEMAAAAA, wote tuitikie SHAHADA MKONONI,
 
Wanataka wajue watu wangapi wamejiandikisha au maana hujatoa mantiki yoyote hapo ya kuzionesha. Aliyekutuma utoe taarifa hujamuelewa rudi tena njoo hapa October.
 
Hadi Oct.2015 utajua mantiki yake nini.Hiyo imekaa poa. Hiyo ndiyo silaha pekee ya Myonge.
Wantazania wangejua maana halisi ya Kadi ya Mpiga kura wasinge fanya masihara. Kadi ya Mpiga kura na Kupiga kura kwenyewe ni vitu vyenye dhamana ya mamilioni ya SH.

Mfano mzuri tu.

Tuko Milioni 40.
Tunadaiwa hizo trilioni sasa gawa kwa kila mtanzania.

Kwa maana rahisi kura yako unampatia atakaye kwenda kuhakikisha hiyo Deni linalipwa na huku ukiendelea na maisha nafuu-baada ya Miaka mitano unafanya tathimini kama kaboronga unampiga chini bila kutoka jasho.

Ukifanya bhivyo wanasiasa uchwara na waongo na mafisadi lazima watakimbia na pengine hata miaka mitano isifikie kama umemchagua Mbunge Bora na Si bora Mtu.

tunakumbuka chaguzi nyingi zilizo pita watu wengi hawakupiga kura sababu hawakujiangikisha ili hili lisijirudie chadema wamekuja na OPERATION SHAHADA MKONONI.
 
Wazo zuri sana walilokuja nalo kwa sasa
 
Hadi Oct.2015 utajua mantiki yake nini.Hiyo imekaa poa. Hiyo ndiyo silaha pekee ya Myonge.
Wantazania wangejua maana halisi ya Kadi ya Mpiga kura wasinge fanya masihara. Kadi ya Mpiga kura na Kupiga kura kwenyewe ni vitu vyenye dhamana ya mamilioni ya SH.

Mfano mzuri tu.

Tuko Milioni 40.
Tunadaiwa hizo trilioni sasa gawa kwa kila mtanzania.

Kwa maana rahisi kura yako unampatia atakaye kwenda kuhakikisha hiyo Deni linalipwa na huku ukiendelea na maisha nafuu-baada ya Miaka mitano unafanya tathimini kama kaboronga unampiga chini bila kutoka jasho.

Ukifanya bhivyo wanasiasa uchwara na waongo na mafisadi lazima watakimbia na pengine hata miaka mitano isifikie kama umemchagua Mbunge Bora na Si bora Mtu.

Ni kweli kabisa imekaa vizuri.............CHADEMAAAAAAAAA :cheer2::cheer2:SHAHADA MKONI watu ni:whoo: :whoo::whoo:
 
CHADEMA inapaswa kutilia mkazo zaidi kanda ya ziwa, kanda ya kaskazini na mkoa wa Dar es salaam. Wahakikishe kila mtu anaandikishwa. Kwa taarifa nilizonazo CUF wanafanya vizuri mpaka mada huu katika mikoa ya Lindi na mtwara. Ukiweka na nyanda za juu kusini ambako CHADEMA ina nguvu sana,mchezo umekwisha.
Remember always politics is about numbers.
 
Una mahesabu mazuri sema hawakutambui kwasababu wewe sio mangi. Badili ukoo kwa mahesabu yako hayo ungepandishwa cheo ukawa mlinzi kwa Mzee Mtei
 
ni kweli SHAHADA ndiyo kiandikio cha taraka ya CCM.
 
Its true kanda ya ziwa is a votes rich zone.Pia nyanda za juu ambako vuguvugu la mageuzi limekolea.Kaskazini potential area sababu 60% will support revolution. Iringa more effort is needed equally with Morogoro. Dodoma don't waste time the same to Tanga.Tabora there is hope.
 
Ha ha ha! Hii ni noma! Shahada Mkononi ndio talaka ya magamba.
 
Una mahesabu mazuri sema hawakutambui kwasababu wewe sio mangi. Badili ukoo kwa mahesabu yako hayo ungepandishwa cheo ukawa mlinzi kwa Mzee Mtei

Acha kuweweseka Mkuu! Umangi unatoka wapi kwenye mada hii?
 
Una mahesabu mazuri sema hawakutambui kwasababu wewe sio mangi. Badili ukoo kwa mahesabu yako hayo ungepandishwa cheo ukawa mlinzi kwa Mzee Mtei

Unahitaji ukapimwe hakili sio bure,,! awe Mangi nani kakwambia CDM ya akina mangi:yield:
 
Ni kweli kabisa imekaa vizuri.............CHADEMAAAAAAAAA :cheer2::cheer2:SHAHADA MKONI watu ni:whoo: :whoo::whoo:
Kabisa!kabisa :cheer2: :cheer2:
Shahada mkononi baba
:whoo: :whoo:
 
Una mahesabu mazuri sema hawakutambui kwasababu wewe sio mangi. Badili ukoo kwa mahesabu yako hayo ungepandishwa cheo ukawa mlinzi kwa Mzee Mtei

Ni kweli ni bora nikawe mlinzi kuliko MWIZI WA MALI ZA UMMA.CHADEMAAA SHAHADA YA KURA TALAKA KWA MAGAMBA:whoo::whoo::whoo:
 
Back
Top Bottom