COARTEM
JF-Expert Member
- Nov 26, 2013
- 3,600
- 3,651
Nashauri wizara inayo husika na mambo ya watoto, jinsia, ustawi wa jamii ianzishe opereheni ya kukamata na kuwafunga jela vijana wa kiume wote na wanaume watu wzima wote wanao wapa mimba wasichana na kisha baada ya hao wasichana kujifungua, wahusika (yaani vijana wa kiume na wanaume watu wazima) hugoma kulea hao watoto.
Hili tatizo ni JIPU KUBWA sana ndani ya Tanzania, hivyo ili kuwatendea haki watoto wasiyo kuwa na HATIA inabdi serikali iandaeutaratibu wa KUKAMA na KUWAFUNGA watu hao inchi ipunguze tatizo la watoto wa mitaani.