Ooops! "Nyumba ndogo yangu imepata mimba!" Ushauri

Orait, Orait.... Mwambie Asprin ampatie Red Apple Moja

Wapi The Finest...asije akasema sijamwmabia.....bahati nyingine haziji mara mbili....kupata "Red apple" special from Askofu.....of course kupitia kwa Asprin big braza
 
Today 09:31 AM

ORAIT Askofu.....mi sijambo....Kuna kijana amekuwa "gombera" wa seminari yetu anaitwa The Finest nadhani umemwona....

Hommie hapo uko kikazi kwa mujibu wa katiba au shughuli zako binafsi?
 
unalia nin?tayarisha nep mtayarishe rum yake pemben ya rum yako na mkeo then muanze familiaa.......uliona raha kusimamia?
ntakuwa dada sjui mama wa ubatizo..najua atakuwa wa kiume tu uyo mtoto!!
 
unalia nin?tayarisha nep mtayarishe rum yake pemben ya rum yako na mkeo then muanze familiaa.......uliona raha kusimamia?
ntakuwa dada sjui mama wa ubatizo..najua atakuwa wa kiume tu uyo mtoto!!

Duh...ushafika huku?
Hivi kuna haja ya rum?? Natafuta komandi za kuzuia madhara....
 
Wapi The Finest...asije akasema sijamwmabia.....bahati nyingine haziji mara mbili....kupata "Red apple" special from Askofu.....of course kupitia kwa Asprin big braza

Nimeambiwa Sr Gabriella ndio Smiles sasa nafanyaje?
 
Katibu....
Natamani saana nikupe pole lakini nashgindwa!! :beckky:
Hahahah...I can't wait for majibu kutoka kwa refa!
Plz make sure yananifikia kwanza...:A S tongue:

Hapo ndipo wivu unaponishindaga! Sijui kwanini yailahi toba!
 
Back
Top Bottom