Ooops! "Nyumba ndogo yangu imepata mimba!" Ushauri

Very easy, we ingiza CD ya Windows kisha bonyeza power button kama sec 30 hivi, kisha bonyeza power button tena ikiboot hakikisha unabonyeza DELETE kuingia kwenye Bios setting weka First Boot iwe CD kisha F10 halafu INTER. Ikianza kuwaka tu bonyeza KEY yoyote kuboot kwenye CD kisha acha mambo yaende, Kazi inakuwa rahisiiii, una DELETE PARTITION kwa kubonyeza D kisha unaCREATE Partition mpya kwa kubonyeza C kisha INTER - Formart - INTER, kwishney unastarehe kwa raha zako!!!! Unaonaje hiyo :A S wink:
 
...enter-format-enter-format-enter...! pheeewwww, hivi hakunaga short cut ya mambo haya?
 
Na miye nikijiuliza hayo hayo mkuu...
 
Mkuu hapa la msingi ni ku-format........tatizo linabaki approach tu......
Sio vibaya uka-outsource hii kazi ya ku-format...
nakupa tano mkuu, yaani umejipigia pande laivu, taratibu za procurement zinaruhusu?
 
Si unajua kwenye hizi ishu kaizer ndo authority yenyewe?? Akisema inakua....na pia kuna rule 3 pia.....
Wacha tumngoje mkuu aamue .
 
hahah wakulu yote mema, hiyo Mkuu St Roya Roy umepata sema itabidi hiyo bid yako aievaluate kiongozi wangi ACID hapo, si unajua tena ufisadi hauruhusiwi kisha rule number three tunaiextend....
 
Sina imani na Acid mkuu, huyu ni mtaalam wa kuchakachua ripoti, sasa isije ikawa bid yangu ikageuka yake ghafla........
Nomba tumpe Smiles kazi hiyo...
 
hahaaa... hii bid analysis ili iwe bomba itabidi tumpe RR single source aisee, maana teamo hajaamka huko alipo
 
Sina imani na Acid mkuu, huyu ni mtaalam wa kuchakachua ripoti, sasa isije ikawa bid yangu ikageuka yake ghafla........
Nomba tumpe Smiles kazi hiyo...
hahaaaaaa... mkuu usiwasikilize hao vijana bana!!! nimekupa single source hapo juu kuonyesha msisitizo mazee

Tatizo ni "kwa mwizi kaingia jambazi" basi ni timing tu

rest assured mambo yako poa
 
Vijana walikuzushia eti wa kitaaluma ni mchakachuaji....imani imerudi kwa hii assurance yako...
Ila nadhani pope kaizer hataki outsourcing ndo maana hataki kufanya direct award (najua uwezo huo anao)..:decision:

Be ready to welcome another bastard, let the number grow. Kuna sheikh mmoja alisema kuna wakati dhambi tunaihalalisha mpaka inakuwa kama kitu cha kawaida, so be ready for it.
 
Vijana walikuzushia eti wa kitaaluma ni mchakachuaji....imani imerudi kwa hii assurance yako...
Ila nadhani pope kaizer hataki outsourcing ndo maana hataki kufanya direct award (najua uwezo huo anao)..:decision:

[/FONT]
hahahaaaa... nimekuelewa sana, nadhani wanaugulia ile condition tunaita acute shortage of confidence.... ila pope needs to revisit ile clause ya conflict of interest
 
Back
Top Bottom