Ph-25
JF-Expert Member
- Nov 19, 2012
- 1,159
- 540
Story ninayokupa ni
yaukweli kabisa ambayo
amenisimulia huyu dada
ambae nilitambulishwa
kwake weekend hii.
Huyu dada anafanya kazi
kampuni fulani hapa Arusha anamiaka
26,sasa hapo kazini kwao
kuna dada mwingine ana
miaka ya thelathini na
ushee hivi anamtaka
kimapenzi tena kwa udi
na uvumba kiasi kwamba
amekuwa kero kwake
anamnyima raha
ukizingatia wanafanya
wote kazi na wapo ofisi
moja kabisa viti
vinatazamana.
Ofisini ikitokea ameongea
na mwanaume
anamgombeza kwa nini
anaongea na wanaume
wangine hajui
anamuumiza
roho,akizoeana na
mwanaume kosa
kabisa,anamletea zawadi
za hapa na pale lakini
yeye huzikataa akitoka
lunch lazima amletee
kifurushi cha
chakula,anampigia simu
kila saa kumchombeza
kwa maneno ya
mahaba,lakini dada
anasema
ameshamwambia
hamtaki.
Dada anasema kuwa kwa
jinsi anavyomtongoza
mpaka akimuona
anamuonea aibu utafikiri
anatongozwa na
mwanaume..? Sasa juzi wakati
nakutanishwa nae ndio
anasema ijumaa
alimwambia huku ana
huzuni kubwa kuwa
kama kweli hamtaki awe
mpenzi wake basi
anaomba wakutane
faragha angalau ampe
kiss(denda), na
akamuahidi kuwa baada
ya denda hilo kama kweli
hatahisi chochote tofauti
kama kumpenda au
msisimko wa mwili basi
atamuacha aende na
atakubali kumkosa japo
roho itamuuma.
Sasa
bidada anasema
amechoka kiukweli hana
raha ya ofisi kuwaambia
mabosi wake hataki
kumkosesha kazi
mwenzake kwa jambo
kama hilo na pia si kila
bosi anaweza litilia
maanani jambo hilo ila
hamuelewi akimwambia
hamtaki amemganda
kama ruba...
........tuliongea sana
kiukweli lakini mimi na
wewe hembu tuvae
viatu vya huyu dada,
tungefanyaje??
yaukweli kabisa ambayo
amenisimulia huyu dada
ambae nilitambulishwa
kwake weekend hii.
Huyu dada anafanya kazi
kampuni fulani hapa Arusha anamiaka
26,sasa hapo kazini kwao
kuna dada mwingine ana
miaka ya thelathini na
ushee hivi anamtaka
kimapenzi tena kwa udi
na uvumba kiasi kwamba
amekuwa kero kwake
anamnyima raha
ukizingatia wanafanya
wote kazi na wapo ofisi
moja kabisa viti
vinatazamana.
Ofisini ikitokea ameongea
na mwanaume
anamgombeza kwa nini
anaongea na wanaume
wangine hajui
anamuumiza
roho,akizoeana na
mwanaume kosa
kabisa,anamletea zawadi
za hapa na pale lakini
yeye huzikataa akitoka
lunch lazima amletee
kifurushi cha
chakula,anampigia simu
kila saa kumchombeza
kwa maneno ya
mahaba,lakini dada
anasema
ameshamwambia
hamtaki.
Dada anasema kuwa kwa
jinsi anavyomtongoza
mpaka akimuona
anamuonea aibu utafikiri
anatongozwa na
mwanaume..? Sasa juzi wakati
nakutanishwa nae ndio
anasema ijumaa
alimwambia huku ana
huzuni kubwa kuwa
kama kweli hamtaki awe
mpenzi wake basi
anaomba wakutane
faragha angalau ampe
kiss(denda), na
akamuahidi kuwa baada
ya denda hilo kama kweli
hatahisi chochote tofauti
kama kumpenda au
msisimko wa mwili basi
atamuacha aende na
atakubali kumkosa japo
roho itamuuma.
Sasa
bidada anasema
amechoka kiukweli hana
raha ya ofisi kuwaambia
mabosi wake hataki
kumkosesha kazi
mwenzake kwa jambo
kama hilo na pia si kila
bosi anaweza litilia
maanani jambo hilo ila
hamuelewi akimwambia
hamtaki amemganda
kama ruba...
........tuliongea sana
kiukweli lakini mimi na
wewe hembu tuvae
viatu vya huyu dada,
tungefanyaje??