Oooh ni yule yuleee!

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
 

Attachments

  • 20151106010208.jpg
    172.9 KB · Views: 3,292
ha ha ha tuliambiwa kua anakuja na mabadiliko ya kweli kumbe ndo haya???
 
Kwa hiyo walisema mabadiliko hayaji kwa kuzungusha mikono ila kwa kurudisha watu wale wale waliokuwa mizigo.
 
Hivi akili zenu mabadiliko ni ya watu?

Mlitaka awe mchagga?
ELIMU sina, PESA sina, MALI sina, Lakini namshukuru sana MUUMBA kwa kunipa afya iliyo bora na njema pia
 
Acha wafaidi wenzio, wewe si unacheza Miguu Sawa muda wote? Badala ya kujipamba, wewe washinda JF.

Uchumi Unao Ila Kila Siku Unaukalia, Faiza bana.....

Usimsahau yule aliyerudishwa kutoka New York akapelekwa Dubai.

Na sasa kuna Mollel kapachikwa, upo hapo ulipo?
 
Hapa kazi tu! Maslahi nayo? Kazi bila kula! Mmhhh
 
Acha wafaidi wenzio, wewe si unacheza Miguu Sawa muda wote? Badala ya kujipamba, wewe washinda JF.

Uchumi Unao Ila Kila Siku Unaukalia, Faiza bana.....


Huko unapokuona wewe ni "kufaidi" mimi nauona ni moto huo.
 
ha ha ha tuliambiwa kua anakuja na mabadiliko ya kweli kumbe ndo haya???

Mbona alisema wazi atafuata nyayo za waliomtangulia????????

Wimbo wao tena unasema CCM NI ILE ILE, hilo tulilitarajia. Waziri wa nishati nji Muhongo tena.
 
Hao wanamabadiliko wao wanachotaka ni mabadilliko tu. Walitaka aondolewe Masaju liwekwe jiwe.

saa nyingine ni vyema kama
mtu utakua tu mbunifu hivi nyie sisi Emu si mngekuja tu na sera ya "MAREKEBISHO" kuliko ku copy "MABADILIKO" halafu hamyatekelezi :banghead::banghead:🙁


Yaani 2achaga wanaprnda madaraka ya kujuana juana na tumewakomesha mwaka huu *****
 
Amavubi mpenzi wangu umeniacha kona za giza, naona chenga tu hapa.

Ulikuwa unamaanisha nini?
ELIMU sina, PESA sina, MALI sina, Lakini namshukuru sana MUUMBA kwa kunipa afya iliyo bora na njema pia

ELIMU sina, PESA sina, MALI sina, Lakini namshukuru sana MUUMBA kwa kunipa afya iliyo bora na njema pia

Amavubi mpenzi wangu umeniacha kona za giza, naona chenga tu hapa.

Ulikuwa unamaanisha nini?
 
ELIMU sina, PESA sina, MALI sina, Lakini namshukuru sana MUUMBA kwa kunipa afya iliyo bora na njema pia

Mpenzi wangu sasa nimekupata vizuri sana.

Kumbe ulimaanisha ni mzima wa afya, kwa kweli nafurahi nikisikia nimpendae hajambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…