Oooh...Arovera Mme Wangu!!.

Nashukuru kwa kunitakia safari njema my special and only one I love, kama nilivokueleza jilinde na maadui wasiopenda mimi na wewe tudum kwenye penzi, Mapenzi yangu kwako yatakua yabaridi na yataupoza mtima wako hayatokua ya moto kama ya wengine yanayowaunguza kila uchao, Love You My Wife.
 

kuwa makini na huko uendako!!. kumbuka huku umeniacha mkeo,sitokusaliti kwa hlo usijali,nakuombea ufike na urudi salama my heartbeat
 
waeleze mimi ndo kivuli chako na sitokuchoma kama mionzi ya jua tulia baby wangu.

nakupenda pumzi yangu!!,naumia ukiwa mbali nami hata kwa sekunde,tayari najihisi mgonjwa mwenzio!!..sikuachi Arovera wangu.
 
Last edited by a moderator:
kuwa makini na huko uendako!!. kumbuka huku umeniacha mkeo,sitokusaliti kwa hlo usijali,nakuombea ufike na urudi salama my heartbeat

Kamwe sitokusaliti mimi sio kama waleeeeeeeeeeeeeee waliokuumiza bila huruma love you my special.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…