Pdidy JF-Expert Member Nov 22, 2007 50,956 22,153 Sep 6, 2011 #1 embu jiulize \umempa nini MUNGU unapata mlo wote na unamwaga chakula bado samahani watoto chini ya miaka 18 awaruhusiwi kuangalia
embu jiulize \umempa nini MUNGU unapata mlo wote na unamwaga chakula bado samahani watoto chini ya miaka 18 awaruhusiwi kuangalia
Pdidy JF-Expert Member Nov 22, 2007 50,956 22,153 Sep 6, 2011 Thread starter #2 MUOMBE MUNGU AKUONYESHE JINSI YA KUTUMIA ULICHONACHO ANGALIA HAWA NDUGU ZETU WANAVYOTESEKA NA NJAA
Gama JF-Expert Member Jan 9, 2010 13,266 4,716 Sep 6, 2011 #3 Sijui kama watawala wetu wanayaona haya.
Elli Platinum Member Mar 17, 2008 55,519 86,068 Sep 6, 2011 #4 Mmmm nimeshindwa kujizuia, MUNGU awape uzima tu. Tuwafundishe wanetu ili waweze kutumia kile kilichopo na kuwagawia wahitaji.
Mmmm nimeshindwa kujizuia, MUNGU awape uzima tu. Tuwafundishe wanetu ili waweze kutumia kile kilichopo na kuwagawia wahitaji.
M Mr.creative JF-Expert Member Aug 8, 2011 492 117 Sep 6, 2011 #5 Mmh! mungu wangu, ! have mercy on them!
Ms Judith JF-Expert Member Dec 24, 2010 2,563 918 Sep 6, 2011 #7 uuuuuwiii, Mungu wangu! watembelee na hao Yesu, nao ni watu wako, wameumbwa kwa mfano wako. wafikishie fadhili zako! aamen!
uuuuuwiii, Mungu wangu! watembelee na hao Yesu, nao ni watu wako, wameumbwa kwa mfano wako. wafikishie fadhili zako! aamen!
G Giddy Mangi JF-Expert Member Feb 14, 2011 830 184 Sep 6, 2011 #8 Tunahitaji kuwasaidi sana hawa ndugu zetu.
NYENJENKURU JF-Expert Member Feb 11, 2011 1,063 288 Sep 6, 2011 #9 Mmmmmmmmmmmmm Mungu wangu!Kuna mwenye email ya JK amtumie ?
N Ndinani JF-Expert Member Aug 29, 2010 6,938 3,825 Sep 6, 2011 #10 Ufisadi wa watawala wao ndio umewafikasha hawa binadamu huko; nasi tusipowakabili hawa wa kwetu ndiko tunakoelekea!! Kukosa mvua sio sababu ya nchi kuwa na baa la njaa!
Ufisadi wa watawala wao ndio umewafikasha hawa binadamu huko; nasi tusipowakabili hawa wa kwetu ndiko tunakoelekea!! Kukosa mvua sio sababu ya nchi kuwa na baa la njaa!
B black beuty New Member Aug 19, 2011 3 1 Sep 7, 2011 #13 Kidogo mmegee na mwezako..... hali inatisha