Onyo zaidi ya miaka 18 tu!!!umempa nini mungu wewe??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
embu jiulize \umempa nini MUNGU unapata mlo wote na unamwaga chakula bado samahani watoto chini ya miaka 18 awaruhusiwi kuangalia
ndugu%2Bzetu%2Bwengine%2Bwakiishi%2Bkama%2Bndege%2Bkuokoteza%2Bmasalia.jpg
hali%2Bsi%2Bhali%2Bkwa%2Bkukosa%2Bchakula.jpg
 
MUOMBE MUNGU AKUONYESHE JINSI YA KUTUMIA ULICHONACHO ANGALIA HAWA NDUGU ZETU WANAVYOTESEKA NA NJAA
Eeh%2Bmungu%2Bmtizame%2Bmamahuyu%2Bamnaye%2Bnyonyesha.jpg
 
Mmmm nimeshindwa kujizuia, MUNGU awape uzima tu. Tuwafundishe wanetu ili waweze kutumia kile kilichopo na kuwagawia wahitaji.
 
uuuuuwiii, Mungu wangu!

watembelee na hao Yesu, nao ni watu wako, wameumbwa kwa mfano wako. wafikishie fadhili zako!

aamen!
 
Ufisadi wa watawala wao ndio umewafikasha hawa binadamu huko; nasi tusipowakabili hawa wa kwetu ndiko tunakoelekea!! Kukosa mvua sio sababu ya nchi kuwa na baa la njaa!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom