naomba kuwaasa wanaccm songea mjini waache ubaguzi hasa huyu katibu alietoka namtumbo mbinafsi sana tena mvurugaji mkubwa embu jivueni hayo magamba mnatuharibia chama nyiee :smash:
mkuu ukitaka picha utataka na majina ila nadhani mes sent
asante mkuu nadhan hang over