Kwa hio mkuu kwa mtazamo wako Unataka UKAWA wawe wapinzani wa kudumu?
Wapinzani watakuwa CCM Sio UKAWA
Unatoa onyo ukiwa kama nani?
Kwa hio mkuu kwa mtazamo wako Unataka UKAWA wawe wapinzani wa kudumu?
Wapinzani watakuwa CCM Sio UKAWA
Nilitegemea jibu kama hiliwe gamba hakuna kitu kama acheni kuweweseka .......mgogoro huo labda upo kichwani kwako
Hayo makundi ndani ya CDM ni mara yangu ya kwanza kuyasikia
Aliemuelewa asaidie ufafanuzi tafadhari
Zamani mlikuwa mkijibu hoja kwa hoja. Siku Hizi ni matusi na virojawe gamba hakuna kitu kama acheni kuweweseka .......mgogoro huo labda upo kichwani kwako
Mleta uzi ni mwana propaganda wa ccm kwa hio msipate shida kusoma yaliyoandikwa.
Utapigwa na bumbuwazi/pumbuwazi (peak the corect one) kwenye matokeo maana kura za cuf ukiziunganisha na za cdm uziambatanishe na za nccr na kutupia na nld ni zaidi kwa 35% ya kura za ccm ukawajumlishia na kura za act.
lazima utapigwa na pumbuwazi kwenye matokeo.
Nataka CCM wawe wapinzani lakini kama CCM ikishinda basi pengine hatutakuwa na upinzani kwa muda mrefu sana. Ndio maana nimesema wajipime.
Inawezekana ulikuwa na point nzuri sana, ila tatizo lako umewasilisha kigamba zaidi.
Maana umekazania Ukawa kushindwa tu...