Onyo mara moja tu!!!

Yaani afunge safari hadi moshi nauli yenyewe kabamizwa halafu ati akuache utachinjwa tu
 
Yaani afunge safari hadi moshi nauli yenyewe kabamizwa halafu ati akuache utachinjwa tu

Hahahahaaa, kweli mkuu atachinjwa tu hilo halina ubishi, kwanza kipaimara tu wanaliwa sana tu "chesea ndafu wewe".
 
kabla ya kugeuzwa mlo atahakikisha watatu wapo makaburini
 
Uchagani atachinjwa tu kwao hivyo vifaa ni vifaa vya kazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…