Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Lady doctor
Ujue bibi yako kaniruhusu kutafuta mtu wa kumsaidia baadhi ya majukumu yake.
Wala hujakosea Mzee inawezekana kabisa maana hata LiverpoolFC hajaonekana tangu siku ile.
umeshaanza kutafuta sasa? Ila mwambie bibi watoto wasikuhizi hawana adabu anaweza geuzwa yeye kuwa msaidizi
Mimba yangu inamsumbua Madame B,anatapika sana!
Tunaweza kuzijua labda? ni himaya kama za mfalme Suleiman?
Mkwara tuu huo wala hakuna kikojoleo kitahama
Copy KOKUTONA na binamu zangu Paloma Passion Lady Madame B na Zion Daughter na Ladyfuahia Mamndenyi mzima wewe na chama hajambo
Lady doctor
Ndio naanza hivyo, Ukisikia anayetaka kusaidia umuelekeze kwangu.
Humu cc kuna watu wanatongoza mke wangu kipenzi,wanatongoza mahawara zangu,vimada wangu,nyumba zangu ndogo,wanatongoza ma concubine wangu,mistresses wangu,last warning ole wako uendelee na mchezo huo mchafu,hivi ninavyoongea niko maeneo ya Goma nimeelekekezwa kwa fundi anaitwa mbamba zimbolola wa bambate,ye kazi yake ni moja tu kuhamisha kikojoleo cha mtuhumiwa na kukibandika usoni.
Wabaya wangu mnajifahamu kwa sura na majina......i am watching you!!!!
Cc Baba V na Mama v.
Mkwara tuu huo wala hakuna kikojoleo kitahama
Copy KOKUTONA na binamu zangu Paloma Passion Lady Madame B na Zion Daughter na Ladyfuahia Mamndenyi mzima wewe na chama hajambo
Mkwara tuu huo wala hakuna kikojoleo kitahama
Copy KOKUTONA na binamu zangu Paloma Passion Lady Madame B na Zion Daughter na Ladyfuahia Mamndenyi mzima wewe na chama hajambo
sawa Mzee ila hebu tupia jicho kwa The secretary anaweza akakufaa maana bado binti na kazi zote anaziweza halafu hajaolewa bado