Huu nao ni ufisadi. Pia ni matumizi mabovu ya rasilimali.
Nimetoa mabandiko mangapi hapa jukwaani ya kutafuta binti/ mke. Sijapata hata wa kushika pembe. Wewe unao Lundo.
Acha roho mbaya. Tupunguzie wengine tukusaidie.
Lady doctor
Marahaaba. Hujambo mrembo?
sijambo, bibi hajambo!?
Lady doctor
Bibi yako mzima sana. Kaniambia eti nikikuona nikuambie kitu kizuri.
Eenhe! Ebu niambie jamani!
Hujambo mrembo,
baba yako Mtambuzi kapotelea wapi;
Halafu kanipigie kura kule kwa ladyfurahia
tuna mchuano mkali. Ukimwona na huyo
anayejiita mumeo Rejao mwambie.
Mkwara tuu huo wala hakuna kikojoleo kitahama
Copy KOKUTONA na binamu zangu Paloma Passion Lady Madame B na Zion Daughter na Ladyfuahia Mamndenyi mzima wewe na chama hajambo