Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,890
- 17,743
Pamoja na kazi kubwa wanayoifanya ya kuisimamia serikal... kuna jambo moja waheshimiwa hawa wamekuwa wakijisahau nalo.. ukiacha baadhi ya wabunge wanaopenda kuwatumikia wananch wao(nawaita watumishi) kama wakina JJ Mnyika, Msigwa, Mwakyembe, Mbowe, Tibaijuka,Lema, Nasary, Machali, Lissu, Sugu, Magd.Sakaya na wengine wengi... wapo wabunge wanaendeleza tabia mbaya ya kuita watu.....'WANANCHI WANGU' badala ya kuita wananchi wa mahali.. mf. wananchi wa Peramiho.. unakuta mbunge anasema et wananch wangu wa peramiho... kama vile yeye ni mama\ baba yao.. hi ni tabia mbaya ya kudhani ukiwa mbunge basi wewe ndio kila kitu\ mungu wa watu wa eneo fulani... huku ni kuwafanya wananchi wajinga na kuendeleza tabia ya kulalamika, kwani wapo watu wenye ushawish bila madaraka.. (influency without position power) kwa sabab imefika mahal mtu anasema et nimewazuia wananch wangu kuhudhuria mikutano ya chama X.. huu ni ujinga, na wakome kabisa kutuita wananch wao..! waseme wananch wa mahal fulani..sisi sio wananchi wao...!