Al-Watan wacha muneno na kingereza kingereza kingi! The botton line hii forex trading yako unayoitetea is not fit for Tanzanians. Endelea nayo huko marekani.If you want to doubt, what will stop you? I will say that you will be a fool to believe even the live calls, as they can be manipulated too. Why do you have such low bars?
Are you changing your goalposts now? Is everybody in here in Tanzania?
If I was able to take $1700 to just under $10,000, someone who started with $17 could have done the same things I did and end up with $100, and one who started with $170 could have ended up with about $1,000.
The only difference is scaling up, the fundamentals of selling/buying/profit/loss are the same.
Why do you assume new traders will be new (and presumably inexperienced) forever?
Did you even understand my argument? Did you even understand what I wrote? You are writing like you did not.
Read again. If you do not understand something, ask.
You are not addressing the point I raised.
You are not addressing the point I raised, you are merely stating the abvious for no reason.
How do you know this? Why do you want to assume? Why not let people figure things out?
People are starting by using demo accounts, they have mentors here. Why are you such a party pooper?
Are they using your money?
Did they ask you for your negativity?
Tatizo hata nilichoandika hujaelewa.Al-Watan wacha muneno na kingereza kingereza kingi! The botton line hii forex trading yako unayoitetea is not fit for Tanzanians. Endelea nayo huko marekani.
Kama wewe unaishi nje una nyemelea kuja bongo kuleta ubroker wako kutufilisi masikini, basi umenoa. Sisi tutawafumbua macho watanzania kwa hii unregulated crap business. Asante sana.
They are not enough. All 300+ of them.Fill your boots.
They are not enough. All 300+ of them.
I told you, don't have such low standards.
Mimi sitaki kuelewa uwongo wa forex trading, bora niwe hivihivi. Nikielewa nimekwisha! Tunakuomba husilazimishe ku mislead ndugu zetu wabongo. Kaa na FOREST trading yako mwenyewe.Tatizo hata nilichoandika hujaelewa.
Kuna mtu nishataka kumfanyia u broker hapa?
Hili umelipata wapi?
Au unaharisha maneno tu?
Wewe si tu huwezi kuelewa forex trading, hujui hata kusoma na kuandika.Mimi sitaki kuelewa uwongo wa forex trading, bora niwe hivihivi. Nikielewa nimekwisha! Tunakuomba husilazimishe ku mislead ndugu zetu wabongo. Kaa na FOREST trading yako mwenyewe.
Kama sijui kusoma na kuandika, umenielewa vipi nilicho andika mpaka ukajibu majibu kulingana na nilicho andika? Mbona inaji contradict mwenyewe? Unajiona msomi kwa kuandika kingereza lakini u cant think logically nor reason. Pole sana Al-Watan!Wewe si tu huwezi kuelewa forex trading, hujui hata kusoma na kuandika.
You are semi-literate and cannot follow an argument with a coherent chain of though.
Unavyojibizana na mimi tu hapa unaonyesha hilo.
Kwa hiyo ni sawa tu ukae pembeni, uachie watakaojaribu.
Following an arguments with you is a waste of time!Wewe si tu huwezi kuelewa forex trading, hujui hata kusoma na kuandika.
You are semi-literate and cannot follow an argument with a coherent chain of though.
Unavyojibizana na mimi tu hapa unaonyesha hilo.
Kwa hiyo ni sawa tu ukae pembeni, uachie watakaojaribu.
kumbe roho ya kwanini apate yeye tu ndio imekusukuma kuandika ujinga huunielewe sijasema forex trading ni feki.ila hii ya kuita watu wakatrade ni feki katika watu mia tatu hata kumi hawatafika watakaopata hela.acheni kudanganya watu .kwanza mnahujumu uchumi.watu mia tatu kila mtu akitoa m moja ni sh ngapi hyo ?
Hujui kusoma na kuandika ndiyo maana huelewi maana ya "semi-literate".Kama sijui kusoma na kuandika, umenielewa vipi nilicho andika mpaka ukajibu majibu kulingana na nilicho andika? Mbona inaji contradict mwenyewe? Unajiona msomi kwa kuandika kingereza lakini u cant think logically nor reason. Pole sana Al-Watan!
Then you surely like to waste your time.Following an arguments with you is a waste of time!
How can i be coherent with someone like you, completely brainwashed with forex trading?
The only way for people like you to understand is to have an incoherent and messed up arguments.
Sasa umelazimishwa kwenda mbona unabet atusemi, acha wivu wa kike, na chuki binafsi, na atoboa sijui utalala nje, bwahahahahaHiyo siyo biashara, ni kamali sawa na pata potea. Risk level yake ni extremely high. Husipotoshe watanzani mjomba!
Google!Amuulize nani kama hajui?
HapanaWewe?
Mimi sio mjomba wako!Kwanza forex uliijua lini mjomba?
Naona una washwa washwa!!Au ndiyo kukurupuka basi umejua!
Mkuu bado unakomaa nao tuGoogle!
Hapana
Mimi sio mjomba wako!
Naona una washwa washwa!!
Kwahiyo unataka kusema bank hazifanyi biashara ya kuuza na kununua fedha za kigeni???Sina hakika kama wanafanya hivyo.. Na kama wanafanya that is interbank trading na lazima kuna insurance ya ku cover losses wakizipata..
Just imagine banks wanaajiri Treusurers ambao ni First Class Students waliobobea kwenye Finance tena kwenye vyuo ambavyo wao wanaviamini. Kama hiyo forex trading ingekuwa rahisi basi hesabu kwa pesa zilizopo bank na umahiri wa wafanyakazi wake hakuna bank ambayo ingepata hasara au faida kiduchu, banks have alot of money boss, instead ya kufanya gambling na pesa za watu it's safe ununue bonds tu ambazo ni faida nyepesi, ni afadhali ukopeshe kwa collateral hata deni lisipolipika kuna njia za kufata hasara.
Sasa bank zikacheze hiyo michezo wakipigwa hasara wakarudishe wapi hiyo pesa? Ndio maana nimekwambia kama wanafanya hivyo vitu basi ni biashara ya siri ya ndani na BOT wakishtukia hiyo bank itafungiwa mara moja..
Huna sifa za ujomba ni expression tu au swahili slang. Unazo sifa za kutumbukia kwenye forex trading. Wewe mshamba wa wapi?Google!
Hapana
Mimi sio mjomba wako!
Naona una washwa washwa!!
Tatizo baadhi ya wabongo kama nyinyi hampendi watu kutoa mawazo na mitazamo yao. Tukiwaambia ukweli mnatutukana, kutuzushia uwongo au kututishia amani!Sasa umelazimishwa kwenda mbona unabet atusemi, acha wivu wa kike, na chuki binafsi, na atoboa sijui utalala nje, bwahahahaha
Benki inafanya biashara ya kuuza na kununua foreign currency, lakini si kwa kufanana na forex trading. Mpumbavu utakuwa wewe maana uelewi hilo!!Kwahiyo unataka kusema bank hazifanyi biashara ya kuuza na kununua fedha za kigeni???
Kumbe wapumbavu wapo wengi eeeh!!!!
Mambo mengine you dont need to google as if Google is always correct!Nauwakika hao wote wanaopiga kelele,wanaufahamu mdogo sana,hata wameshindwa kugoogle kusoma kuhusu fx??au ndiyo hawawezi hata kukaa chini dakika chache kusoma kujua kinachozungumziwa??poor us Tanzanian,
Sent using Jamii Forums mobile app