Onyo : Aina 9 Ya Simu Ambazo Sikushauri Kununua

Walioleta Infinix Tena hizi hot aah wapewe mauwa Yao hakuna kutembea na chaji Wala kuhofia kuisha Kwa chaji😀 hizo sim zingine ni fashion
Hahahha hiyo ni powebank kaka 😆🤣🙌🙌
Ningekuuzia yangu sema bado naipenda nilinunua zilipotokaga tu
hahaha hiyo ni Og 🔥🔥 itunze kwa hali na mali 🤝
Amesema simu mkuu, siyo vifaa vya kuhifadhia line
hahaha we mzee mkorofi sana 😆😂😅
Asante sana kwa kutusanua, nitakapohitaji simu nitakutafuta.
karibu snaa nicheki 0628210865 save namba yetu Nitext WhatsApp
 
yes sema ukitaka OG kuna maduka yawahindi wale bado wanazo OG full box maan bei zao hawapunguzagi so wanakaa na simu hata miaka mi3
Kama maduka gani kwa huko daslamu?!
 
Sony experia yangu imevilia kioo naweza rekebisha kioo ndugu muuzaji nikucheki
 
Umeisahau samsung s20+, nina case kama 5 mimi mwenyewe nikiwemo vioo vyake vinachora mstari hasa ikikolea joto au ukiupdate software mpya
 
Nipo kwa fundi hapa anaunga unga vifaa vya simu mbalimbali hadi simu itokee sijui tuipe jina gani hii simu
 
Umeandika kweli kabisa,mimi nilinunua google pixel 5a ilikuwa na tatizo la overheating.
Kuja kuifuatilia mitandaoni nikakuta wengi wanailalamikia sana hiyo simu.
 
Acha kuigiza maisha mkuu...
Asilimia 99.9999 ya simu unazouza hapo ni Techno na Infinix ila unaziona kama sio simu kabisa..

Nonsense...
 
Siku nasoma huu uzi, sikuuzingatia sana, niliona ni changamoto za wachache zimekua generalized.
Leo pixel 4xl imezima ghafla, nimerudi kuusoma tena na kuappreciate
 
A series Dubai version ziko made in Dubai? au zimeandikwa made in Vietnam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…