Onyo : Aina 9 Ya Simu Ambazo Sikushauri Kununua

Mimi Nina Infinix s6 now mwaka wa SITA juzi ndo ilizima nikapeleka kwa fundi nikaambiwa ac imekufu Wala sikutaka mengi kujua ac ya nn nikamuuliza Bei na matengeneza ten tu nikamaliza nikachukua changu kifupi Sina mpango kubadili simu coz Samsung A series nilitumia ikafa,iphone nayo hivyo hivyo nikiwa tayari na Infinix
 
yes sema ukitaka OG kuna maduka yawahindi wale bado wanazo OG full box maan bei zao hawapunguzagi so wanakaa na simu hata miaka mi3
Sasa mkuu kwa bajeti ya 700K sidhani kama inaweza kuendana na bei zao kwa S22 Ultra
 
Sasa mkuu kwa bajeti ya 700K sidhani kama inaweza kuendana na bei zao kwa S22 Ultra
700k pale kkoo watakupa used ya dubai tena kwa shida sanaaaaaaa na hapo itakua small display
 
Sisi wa Samsung A14 umeturuka hapo!!😄😄
 
Dah li oppo langu 83 ndio mana limegoma whatsap, mkuu sim gan yenye bei ya kawaida ambayo nitapata na whatsap na gb na ram kubwa kidogo
 
Mkuu, Samsung S22 Ultra yenye 256GB used ila kioo kikubwa (full display) ina bei gani hapo kwako?

Nina uhitaji nayo
Tuwasiliane tafadhari kwa namba ya simu yangu 0628210865 maana najaribu kudeal na watu wengi ukinitafuta WhatsApp itakuwa vizuri zaidi
Kwa mfano hzo simu pixel zikizima ghafla zinatengenezeka au ndo inakua imeisha hyo??
inategemeana na Tatizo , kama shida ni mashine … ni lazima ipatikane ya simu iliyo kufa kioo then iwekewe maana hakuna kiwanda duniani kinatengeneza mashine ila kama kioo … vioo vya dukani vipo japo wachache wanauza Bongo ko unaweza pia kupata kutoka kwa simu nyingine
 
Dah li oppo langu 83 ndio mana limegoma whatsap, mkuu sim gan yenye bei ya kawaida ambayo nitapata na whatsap na gb na ram kubwa kidogo
Simu ndogo ya bei nafuu zipo nyingi mfano Vivo Y 95 iko vizuri pia unaweza kuangalia Aqous zipo pouwa sana bei zake ni kuanzia 170 tu na kuendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…